Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,267
Watu walipigwa na mshangao mkubwa nchini Nigeria baada ya bibi harusi kutoroka kanisani alipogundua mume wake mtarajiwa sio mfanyikazi wa kampuni moja ya ya kitajiri ya kuuza mafuta.
Je ungekuwa wewe mwanamume ama mwamamke umeachwa mataani kwenye harusi yako mbele ya watu kibao familia, ndugu na marafiki na maadui waanza vipi?
Je ungekuwa wewe mwanamume ama mwamamke umeachwa mataani kwenye harusi yako mbele ya watu kibao familia, ndugu na marafiki na maadui waanza vipi?