Bibi: Bado nipo Fiti alizuiwa kushiriki Olympic Showtime

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653
488216_339666802787990_1993125338_n.jpg
 
Acheni bwana mazoezi yanasaidia sanaa maana unazeeka hutaabishi mtu bado uko fit
 
bii bomba sio! wazungu sio wenzetu wasije wakawa wamemvalisha ma mask huyu, kumbe ni katoto ka miaka 15, ohhoooo! mi siwaaminigi sana wazungu na mambo yao
 
bii bomba sio! wazungu sio wenzetu wasije wakawa wamemvalisha ma mask huyu, kumbe ni katoto ka miaka 15, ohhoooo! mi siwaaminigi sana wazungu na mambo yao

Kuna mmoja nilicheka sana yaani kikongwe haswa na mkongojo kikavuka barabara likaja gari likamgonga bibi wa watu akapaishwa juu na alipotua kikaamka na kujikung'uta na kuendelea na safari oi
 
Back
Top Bottom