Bibi anatafutwa amepotea, ukimuona popote toa taarifa

Bibi anatafutwa amepotea, ukimuona popote toa taarifa

KwetuKwanza

Senior Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
122
Reaction score
221
IMG-20260216-WA0017.jpg
Anaitwa Hawa Shuma Hemedi amepotea tangu tarehe 31/01/2026, ni mzaliwa wa Kigoma amepotea akiwa Ubungo Kibangu Jijini Dar es Salaam.

Mara ya mwisho alikuwa amevaa gauni ya kitenge na kajifunga kitenge na juu kajitanda kanga, anatembea na mkongojo chini kavaa ndala za kijani, unapomuona au ukiwa na taarifa zozote toa taarifa kupitia naomba za simu 0677774110 au 0741674110 au 0764142597.
 
Back
Top Bottom