Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,724
Teh teh teh!...namhurumia huyo puppy maana uwezekano wake wa kuishi hapo utata mtupu
Yaani hakasikii hako katoto ka mbwa kakijitahidi kuondoka kwenye hayo maeneo?
Huo mferereji taka, mfereji maringo uko kwa mbele yakhee....nimemwona kwenye mfereji maringo.
Hahahahahahahahahahaha
Nimecheka hadi ofisin wananishangaa!!!!!
We Bishop Hiluka
Unatangaza vita nakwambia!!!!!!
Hii picha asione miss neddy humu ndani Sikai Leo.please MTU asimmention!!!!
Hako katoto kwa mbwa katakua ka kiume tena kutoka Mombasa, kwanini kang'ang'anie eneo hilo tu
Hahahahahahahahahahaha
Nimecheka hadi ofisin wananishangaa!!!!!
We Bishop Hiluka
Unatangaza vita nakwambia!!!!!!
Hii picha asione miss neddy humu ndani Sikai Leo.please MTU asimmention!!!!
ulitaka wote tuwe na mtazamo mmojayamekuwa hayo. .....
Nimekuja mkuu Kuna nini??
Hahahahahahahahahahaha
Nimecheka hadi ofisin wananishangaa!!!!!
We Bishop Hiluka
Unatangaza vita nakwambia!!!!!!
Hii picha asione miss neddy humu ndani Sikai Leo.please MTU asimmention!!!!
Mwenyewe nakuanzishia sredi muda sio mrefu.
afadhali umekuja naona umejionea mwenyewe