Bibi alichotufanyia kwenye gari

koncho77

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
7,790
10,374
Tulikua kwenye gari watu
kibao hadi wengine
mlangoni gari likasimama
kituo kimoja kulikua
kuna bibi anataka
kupanda
Konda- bibi twende siti
kibao hata utalala
Bibi - oooh sawa
mjukuu
Konda - simama tu hapo
wanashuka mbele
Bibi - akacheka sana
tu
Konda- mbona
unacheka bibi
Bibi - mjukuu hawa
wote hawashuki
wanakufa hapo mbele
Watu- simamisha gari
Sasa hivi bibi kabaki
mwenyewe amelala siti
ya nyuma.
 
Back
Top Bottom