Biashara zasimama Kariakoo

Dadavua! Sio matukio ni upendo wa dhati,
Sijakataa kama anapendwa!!

Nilichosema Watanzania tunapenda matukio. Nchi nyingine watu hawawezi kuacha kazi zao kwa ajili ya ufunguzi wa barabara tu. Sisi watu watarundikana huko hata kama wananyeshewa mvua wamo tu!! Zana ya HAPA KAZI TU haiendani kabisa na kinachoendelea!!
 
Kusimamisha shughuli za biashara kupisha shughuli ya mkuu sio kigezo cha mkuu kupendwa
 
masijala uchaguzi mdogo tu,tumewachapa na kuwagaragaza,uchaguzi mkuu si tutawachanachana na kisha tuwatupe kule...
 
Mnadanganyana.

 
Magufuli ni chaguo la Mungu.

Sema chaguo la CCM,na huo mradi unafunguliwa kila siku?AU kumekosa ajenda sasa anaenda kutafuta ajenda ya UDART au ndiyo ametafuta mahali pa kusemea maneno yake ya kuudhi??
 
Kwenye uchaguzi wa juzi hao wapinzani uchwara wameambulia kata moja
 
Tena atashinda kwa zaidi ya 80%.
Amini mkuu.
kwa sasa asilimia kubwa ya wapiga kura wanaangalia mtu na sio chama anacho toka.

WIth Polisi na wale Makada walioteuliwa nafasi za kusimamia uchaguzi ni sahihi kabisa kusema hivyo
 
Ndivyo politics ilivyo, Mkuu alitengeu amri ya Makonda, lazima ashangiliwe maana kawarudishia ugali wao.


KADA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…