Biashara zasimama Kariakoo

Watu wamezuiwa wasifungue maduka leo, usipende kupotosha
We ndo mpotoshaji na mwenzio aliesema Aggrey inafanyika kazi... nani mkweli kati yenu jitathminini,
 
LONG MAY HE REIGN JPJM
 
hata kama jambo liko wazi!? Yanini kuongopa?
Uko wapi wewe sasa hivi na ubora wake baba jescar huwezi kuwa kwa machinga pekee wakati watu wanakufa njaa huko machinga wanashangilia kwa SBB aliruhusu kufanya biashara kila wanapotaka bila kufuata utaratibu sijui kama unajua
 
Fata ethics za uandishi.... SBB ndo nn!?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…