Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,800
- 34,189
Inasikitisha lakini ndio jinsi ilivyo Hawa binadamu wanao wauwa Binadamu wenzi wao ninaishauri Serikali ya Mheshimiwa Rais wetu J.P.Magufuli iwahukumu Adhabu ya kifo. Itakuwa ni bora zaidi kuliko kuwafunga hata milele haitosaidia kitu wahukumiwe Kifo kama wao wanavyouwa Wenzi wao aka. Hii ni Katanga nchini Kongo
Biblia Takatifu
MAMBO YA WALAWI 1:17 Na mtu ampigaye mtu hata akafa, lazima atauawa
19 Na mtu akimtia mwenziwe kilema; vile vile kama alivyofanya, naye atafanyiwa vivyo
Mambo ya Walawi 24 : 20
24.20 jeraha kwa jeraha, jicho kwa jicho, jino kwa jino; vile vile kama alivyomtia mtu kilema, naye atalipwa vivyo.