UkirikimbaKuna mikondo ya pesa wengi wetu hapa tunaisotea kwa udi na kwa uvumba! Wengine wanaroga kabisa ili waweze kuikamata
Unafiki au urafiki?Hivi kiwanda cha unafiki kinafanya kazi?
Bibie bado unauza vipodozi?Kama Issue ni TRA biashara nyingi tu kubwa kubwa zinafanyika bila receipt
Waseme wanataka kiwanda chao kiingie sokoni kwa nguvu
Kuna kitu unakijua.Kama Issue ni TRA biashara nyingi tu kubwa kubwa zinafanyika bila receipt
Waseme wanataka kiwanda chao kiingie sokoni kwa nguvu
Unafiki?Hivi kiwanda cha unafiki kinafanya kazi?
Kama kuna kiwanda cha wazawa cha vitenge ni jambo jema sana. Haiingii akilini kila mwanamke wa Africa anavaa vitenge. Na karibu wote wananunua vitenge vipya halafu tuwe tunaagizq toka China NK.Kama Issue ni TRA biashara nyingi tu kubwa kubwa zinafanyika bila receipt
Waseme wanataka kiwanda chao kiingie sokoni kwa nguvu
Mama bonge! Mtani vingine viache tu vipite maana vina kina kirefu kama utupu wa mwembambaNatamani nianze kufanya biashara ya vitenge . age is just a numbers.
Niliona mzigo ulikamatwa somewhere kama Tanga hivi, niliwaza sana.
Mwanamama kuwa na mzigo mkubwa vile, japo yawezekana pia kuwa wapo wa huko mbele ndo wenye mzigo.
Let's do that japo nitaanza kidogo kidogo tu
Tanzania ukitaka watu walipe kodi kwa moyo we weka magari ya kubebea wanafunzi ya bure! yapite kila mtaa haijalishi ni wapi halafuu yaandike lipa kodi tusome!
ukijenga barabara ziandike hii no kodi yetu! ukienda hospitali kusiwe na ubaguz tena na dawa ziwepo,! utakuja kunishukuru
Tujadili hili la utupu wa mwembamba kwanza! inakuwajekuwaje utupu wake uwe mrefu na je urefu wake ndio utamu wake au..??Mama bonge! Mtani vingine viache tu vipite maana vina kina kirefu kama utupu wa mwembamba