Ni kweli ndio maana nikasema kwenye biashara hii ya vitenge ni muhimu sana kujua aina ya Wateja wako kuhusu kipato,tabia na standard wanazotaka. Hapo mtaenda sawa mie mpaka Leo naifanya hiyo biashara ninapokuwa na safari za mikoani, facebook imenisaidia kupata Wateja na hupiga picha na kuwatumia kabla ya kuanza safari najua nampelekea nani kitenge kipi na bei tunakuwa tumeelewana. Ni vema kutumia mitandao kukusaidia kukuunganisha na Wateja unaowafahamu na usiowajuaNimekupata mkuu, feki vinachakaa haraka sana lakini vile vya laki 3 vina dumu. Huku kwetu uswaz ni kheri uzuri 30-35,000 zaidi ya hapo ni kutafuta matatizo
Maofisini wapi mkuu funguka.Maofisini mkuu
Maofisini mkuu
Maofisini wapi mkuu funguka. UlipoMaofisini mkuu
Maofisini mkuu
Maofisini wapi mkuu funguka. UlipoMaofisini mkuu
Maofisini mkuu
Mmh mkuu umekosea. Kwa 22 rejareja kwa jumla si wanaweza fanya 20 na sio 30 tena!Kwa 22 ninahisi ukitaka jumla wanaweza fanya 30,000. Si mbaya
Siku hizi TRA haita waacha kitenge kimoja kukilipia ni sh 2,000Wenye uzoefu wa biashara hii, hoteli za bei nafuu Kigoma, sehemu ninnayoweza kupata mzigo kwa bei ya jumla na mtaji kiasi gani kuanzia?
Asante sana mkuuKigoma mjini zipo lodge za bei poa nyingi ukitaka za kuanzia 7,000 na kuendelea, ukifika kigoma mjini usafiri wa kwenda boda munanila ni 7000 ingawa stand ya mabasi hapo gungu yapo mabasi yanayoenda bujumbura moja kwa moja sikuwahi kuuliza nauli ni sh ngapi ila boda munanila mpaka bujumbura ni 15,000-17,000 za Tanzania, sijui kama kuna maboti ya kwenda bujumbura toka kigoma mjini
Zanzibar Hill siku hizi pakichovu kabisa. Zamani ilikuwa bomba sana, ila siku hamna kitu imechakaa sana.sehemu za kufikia ni nyingi mfano ukifika maeneo ya BIMA mweleze mtu akupeleke zanzibar hill, hapo vyumba ni 20000 kuna usalama na ni karibu na mjini vinakopatikana vitenge, ujue kutofautisha zanzibar lodge na zanzibar hill
Huu mpango ukikaa sawa nijulishe tupige kazAsante sana mkuu
Mkuu Wax original hakuna siku hizi. Toka nwaja juzi hazipo. UlidanganywaThe easiest way ni Burundi.
I took one for bi mkubwa nadhani haikuzidi 20,000 za tz kwa wax OG (nahisi walinipiga lkn iyo 20.000[emoji30])
Mkuu hapa umedanganya. Sema ukweli. Kuna Hollandee waambie bei ni tsh 73,000 hadi 170,000. Nenda kahakiki maduka ya mjini utakuja kusema bei. Hapa sokoni mwanga unaweza usipatevitenge og kwa kigoma cha juu haizidi tsh 23000 ukumbuke utakua salama hautoulizwa na mtu na risiti unapewa