Biashara ya vifaa vya simu kutoka Dubai/China

Kuna njia ambayo mimi naitumia, kwa dubai kuna watu wananunua kilo na kuuza ambao kila siku wako kama watu wako ni wenyeji sana watakua wanapajua gold plaza deira, hapo ndo center ya wafanyabiashara wa bongo. akienda pale analipia kilo moja kwa kama dola 6-7 kwa kilo, hapo mzigo wake unatumwa to Bongo ndani ya 24 hours or less, hiyo ni mpaka ndani airport so ya kulipia TRA ni juu yako.
Kaka niko moshi ninataka kufanya hii biashara ,tafadhali heb naomba muongozo kidogo ktk kupata vitu kutoka dubai kama ninaweza pata mtu wakunitumia mzigo,na vp mtaji wa kati unaweza kua bei gan,plz ndugu i real insist
 
Me naifanya japo nimeanza na mtaji mdogo lakini nashukuru unasogea.
uzuri wa vitu hivyo ni rahisi kusafirisha as unakuta mzigo wa milioni moja lakini haujafika kilo mbili.
Kwa ushauri inategemea na mtaji utakaoanza nao, kama una mtaji mkubwa tafuta fremu eneo lililochangamka uwe unauza rejareja kwa kumuweka mtu pia itakua store yako, wewe utakua na begi lako unazunguka kutafuta wateja wa hapa hapa dar na wa mikoani unaanza nao kwa kutengeneza nao connection kidogo kidogo.
Changamoto kubwa ni kuwa ukiwa una supply bila kuwa na ofisi/fremu permanent watu wanaogopa as anaweza kununua mzigo ukawa mbovu alafu hajui pa kukupata.
hivyo vitu ulivyotaja ukaongezea makava ya simu, earphones, mouse, mp 3 na mp 4, pads za play station, power bank n.k
Boss bado unafanya hii kitu.....naomba maelekezo zaidi
 
Karibun javis international trade tuna safirisha mizigo toka china na kununua bidhaa na kuzituma kwa mteja fika ofisin kwetu jengo la ushirika tukusaidie
 
Me naifanya japo nimeanza na mtaji mdogo lakini nashukuru unasogea.
uzuri wa vitu hivyo ni rahisi kusafirisha as unakuta mzigo wa milioni moja lakini haujafika kilo mbili.
Kwa ushauri inategemea na mtaji utakaoanza nao, kama una mtaji mkubwa tafuta fremu eneo lililochangamka uwe unauza rejareja kwa kumuweka mtu pia itakua store yako, wewe utakua na begi lako unazunguka kutafuta wateja wa hapa hapa dar na wa mikoani unaanza nao kwa kutengeneza nao connection kidogo kidogo.
Changamoto kubwa ni kuwa ukiwa una supply bila kuwa na ofisi/fremu permanent watu wanaogopa as anaweza kununua mzigo ukawa mbovu alafu hajui pa kukupata.
hivyo vitu ulivyotaja ukaongezea makava ya simu, earphones, mouse, mp 3 na mp 4, pads za play station, power bank n.k
Kaka naomba nichek wasap kuna maswala madogo nataka kujua 0653325710
 
uko wapi mkuu?
 
Mkuu mtaji wa chini unaweza ukaanza na kiasi gani. Naitamani hii business mi ni mwanafunzi na wanafunzi ni soko kubwa sana la hivi vifaa
Mtaji wa chini inategemea unataka kuifanya bbiashara kwa JUMLA au Reja Reja na Unataka kuagiza nnje au kununua hapa hapa Nchini..ukishajua mzigo wako unataka kuununua wapi na uuzaje ndio Tutajua sasa mtaji unahitajika wa sh ngapi.

Huwezi mwambia mtu mtaji wa vitu vya JUMLA aanze na 1m itakua vituko..au mtaji wa Vitu vya Reja Reja aanze na 5M pia huo bado ni utani kwa mtu anae ianza hii biashara.
 
Kaka niko moshi ninataka kufanya hii biashara ,tafadhali heb naomba muongozo kidogo ktk kupata vitu kutoka dubai kama ninaweza pata mtu wakunitumia mzigo,na vp mtaji wa kati unaweza kua bei gan,plz ndugu i real insist

👇 👇 👇

Mtaji wa chini inategemea unataka kuifanya bbiashara kwa JUMLA au Reja Reja na Unataka kuagiza nnje au kununua hapa hapa Nchini..ukishajua mzigo wako unataka kuununua wapi na uuzaje ndio Tutajua sasa mtaji unahitajika wa sh ngapi.

Huwezi mwambia mtu mtaji wa vitu vya JUMLA aanze na 1m itakua vituko..au mtaji wa Vitu vya Reja Reja aanze na 5M pia huo bado ni utani kwa mtu anae ianza hii biashara.
 
Mimi naipenda sana hii biashara!!Swali langu,ni hatua gani nitazifuata kweza kuagiza nnje?
 
kwa china tunasafirisha kwa ndege mizigo yenye kilo chache ...lkn vifaa kama battery na powerbank ni mtihan kwa ndege hapo inabd meli ndo itumike .....mm nipo kwenye research ya hilo soko ndo najipanga nianze kuagiza mizigo
 
Vp gharama sehem za kulala dubai kwa bei ya chini kabisa ni bei gani kwa siku na ni mtaa gani zinapatikana hizo sehem! !

Back
Top Bottom