Bado sijajua njia nafuu ya kutuma mzigo ila nnachojua kampuni kama dhl viwango vyao vya kutuma viko juu,vip unanishaur nitumie njia gan ndugu?#mtengwa
Kuna njia ambayo mimi naitumia, kwa dubai kuna watu wananunua kilo na kuuza ambao kila siku wako kama watu wako ni wenyeji sana watakua wanapajua gold plaza deira, hapo ndo center ya wafanyabiashara wa bongo. akienda pale analipia kilo moja kwa kama dola 6-7 kwa kilo, hapo mzigo wake unatumwa to Bongo ndani ya 24 hours or less, hiyo ni mpaka ndani airport so ya kulipia TRA ni juu yako.