Biashara ya uuzaji na ununuzi wa madini kwa mfanyabiashara mdogo

SirMayombo

Member
Oct 3, 2018
5
3
Habari wana JF,

Naitwa Mayombo nimekuja kwenu kuomba ufafanuzi kwa yeyote mwenye experience na biashara hii ya uuzaji na ununuzi wa madini hapa nchini

1. Hatua gani za kufuata kisheria?
2. Inahitaji pesa kiasi gani kama mtaji?
3. Changamoto zikoje na faida?

Tafadhari naomba msaada ili nijifunze lakini tupate somo kwa wana JF wote. Ahsante
 
Madini gani?
 
Madini ya aina gani?

Kama ni dhahabu:-

1. Kununua maduara Ili utoe madini ya dhahabu na kuyauza?

2. Kununua viroba vyenye mchanga wenye madini ya dhahabu?

3. Kununua madini ya dhahabu ambayo BADO haijachomwa?

4. Kununua madini ya dhahabu iliyochomwa?
Kununua madini ya dhahabu iliyochomwa mkuu
 
Muhimu umuone kalumanzila kabla ya kuanza hiyo biashara vinginevyo madini yatakua yanapotelea mfukoni kimzaha
 
Madini ya aina gani?

Kama ni dhahabu:-

1. Kununua maduara Ili utoe madini ya dhahabu na kuyauza?

2. Kununua viroba vyenye mchanga wenye madini ya dhahabu?

3. Kununua madini ya dhahabu ambayo BADO haijachomwa?

4. Kununua madini ya dhahabu iliyochomwa?

Kununua marudio?
 
Back
Top Bottom