Afrika inajulikana kwa umasikini lakini watu wengi hawaelewi ni kwanini Afika ni masikini sana. Wengi wanafikiria rushwa na nguvu za nje zimesababisha umasikini wa Afrika.
Nguvu kubwa za nje zilisababisha haya kuanzia karne ya 14, Nchi za Magharibi na Ufalme wa Ottoman
Kuna mahubiri fulani nimewahi kusikiliza wakiwa wanamtakasa mwarabu na kusema eti wao hawakuhusika kabisa kwenye hiyo biashara haramu bali walikuwa wanahubiri dini tu🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Sijaangalia video lakini kujibu hapa kwanini Afrika ni masikini.
Afrika ni masikini kwa sababu ya tabia za asili za waafrika wenyewe tukiachana na elimu na akili ambazo wengi hudhani wazungu wanazo kutuzidi kinachotucost ni asili yetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.