nikupenda vitu vya rahisi pasipo kutumia jasho. Kazi zipo nyingi kuchoma maindi ukianza na mtaji 10,000 unaanza biashara hulipi kodi tra.
Wanaona ni biashara ya kijinga haina faida wameshazoea vitu vya bei ghali.
Wanaishia kupata ukimwi. Kuharibiwa tigo.
Mungu awa guse tu mioyoo yao warudi njia ilio sahihi.
Sema amen