Biashara ya Uchawi Tanzania

Mkuu Majimoto
Mimi maranyingi sana usiku huwa nahisi kama vile nimevamiwa na mwili huwa mzito sana huwa nahisi kabisa kuna wachawi wananichezea na huwa siwezi hata kutikisika na sometimes huhisi kukabwa ila cha ajabu nikiwa kwenye hali hii huwa najikuta nakemea bila kujijua kwa kutumia jina la Yesu na nikiona mpambano umekuwa mkali huomba msaada wa damu ya YESU na moto wa roho mtakatifu hapo hata kama walikuwa wengi kiasi gani na wakali kiasi gani lazima watoke nduki na nikishtuka naona kabisa mwili wangu upo tofauti na najihisi tofauti ninachoshangaa ni kuwa huwa nipo usingizini akili ya kukemea huwa naitoa wapi? huwa inakuja automatic? na kwanini? Na cha kushangaza mimi sijasimama sana katika imani japokuwa naamini Mungu ndo kila kitu na sina kinga zozote za kiganga!!!!! na hii huwa inatokea sana siku nikijisahau kulala bila kusali
Maelezo tafadhali

Wachawi huchezea na kuumiza watu wengi sana usiku. Wanapoingia chumbani kwako hupulizia dawa za usingizi za kichawi unalala usingizi mzito kama wa mgonjwa anayefanyiwa upasuaji hospitalini, wakishapuliza mchawi mmoja hukaa juu ya kifua chako kama vile anaendesha pikipiki na mchawi mwingine hukaa juu ya miguu yako kama vile anaendesha pikipiki halafu wachawi wanaangaliana. Machawi aliyekaa juu ya kifua chako karibu ya shingo huruka juu na kutua juu ya kifua chako kwa mata.ko kwa nguvu, akitua chini, mchawi aliyekalia miguu yako naye huruka juu na kutua juu ya miguu yako, mchezo huo huendelea hadi wanahakikisha kuwa kipigo hicho kimekuigia vizuri.

Wakati mwingine wachawi huwa wanachukua watu wazima wazima usiku na kuondoka nao kwenda kuwanga. Wanachofanya huingiza mzimu wa uchawi ndani yako ukiwa umelala, mzimu ukishaingia unainuka kitandani na unaondoka nao kwenda kuwanga, aidha kama siku hiyo ni siku ya kucheza ngoma za kichawi nawe utashiriki, kama siku hiyo ni siku ya kwenda makaburi kufukua maiti utashiriki na kula nyama za maiti, kama siku hiyo ni siku ya kuingia ndani ya nyumba za watu na kukalia watu nawe utakuwa ndio namba moja.

Ndiyo maana, utakuta watu wengi wanapoamka asubuhi, wanakuwa wachovu kwelikweli, shingo zikiuma na miguu ikiwaka moto. Kama umeamka asubuhi na kuanza kunyosha mikono kila upande na kupiga miayo mingi, ndugu ujue ulikaliwa usiku huo.

Kwa kawaida mtu akiwa na njaa huwa mlegevu na kupiga miayo, akipewa chakula njaa hutulia na anapata nguvu mpya, mtu pia akiwa na kiu akipata maji ya kunywa kiu huisha na kupata nguvu hasa kwa wale wanaofanya kazi ngumu juani.

Mtu akiwa amechoka huhitaji mapumziko, mapunziko mazuri ni kuulaza mwili kitandani au juu ya mkeka na unapoamka mwili unakuwa mchangamfu na mwenye nguvu. Tatizo kubwa hutokea unapolala usiku, kwa nini unapoamka mwili uwe mchovu, wakati dawa ya uchovu ni usingizi?. Ndugu hiyo ndiyo kazi za wachawi kuchezea watu usiku kama vile chapati inavyogeuzwa ikiwa ndani ya kikaango ndivyo hivyo hivyo wanakugeuza na kukukalia kwa nguvu usiku.
 
Thanks kwa maelezo mkuu
kama huwa wanakupulizia usingizi mnono sana inakuwaje huwa nahisi kabisa kuwa hapa kuna kitu hakipo sawa na kuanza kupambana nao kwa kukemea na hatimaye wanakimbia? na lengo lao huwa ni nini? kukuchezea tu au kuna mengine mabaya wanaweza kukufanyia?
 
Ee Mungu nipe ujasiri zaidi!
Na haya ni kwel mengi nmeyaona na wengi yame/yanawamaliza!
Nitasimama Imara na Siogopi,kwani aliyendani yangu ni Mkuu Mno!walinijaribu wananuna wee mwisho utasikia aisee Mungu anakupenda!hahah i smile&say Yes its You myLord myGod!
*wink...!
 
Tehetehetehetehetehe. Kuna mwenzio mmoja alikwenda kijiji kimoja kinaitwa Bulima huko Mwanza ambacho kinajulikana kwa uchawi. Alipofika huko akawa anahutubia mahali anasema "watu wanasema eti kuna uchawi, mimi nasema haupo". Kesho yake alipolala akaamka yuko juu mlimani. Weeeeeee! Ilibidi atoroke haraka sana. Uchawi upo na kiboko yake ni BWANA YESU tu.

hahahahah awa wabish wabish awa ndo cku ananyanyuka na kiti kmemganda sasa cjuw ataenda laboratory gan kemia au physcs..
Me mwnyew nlikuw nabisha kwel, nikiw shule nasoma olevo alikutwa nyoka mkubwa bafun,yan mnene zaid ya awa wa maonesho,.ktk jthada za kumuua,tcha flan akawa anasema ni wakichawi,bs akapew kpgo na ad majiran,kumbe bwenin kuna dogo 4m one alikuwa anaumia anatoka jasho anatapika ikabid aropoke plz dont kill that snake!n ulinz wang! Akabanwa akasema n bibi yake,kumbe alkuwa anamuwangia mwnzake et kampita marks!kumbe dogo nae kaaga kwao!joka likapgwa likafa,.yan jion yake ndgu zake wakapga cmu xul,bib ake kafa,.akasafir th other day kwenda kwao UK..(ukerewe),hakurud tena ad tunamaliza xul! Asa jamaa apo angeaply elimu gan!

Aya mambo yapo sema usiombe yakukute utaita maji mma..ohoo
yesu tu ndo kila kitu
 
Yani umekosea xana sumba wanga ilibidi iwe ya kwanxa kila sehemu iwe ya kwanza kwa ruvuma napo umekosea
 
Mkuu Majimoto, ni kweli kwamba baadhi ya nyama zinazouzwa kwenye mabucha mengi ni za binadamu na walaji wanafanyiwa viinimacho tu ili wazione ni halisi?
 
Kwa kawaida nyama ya binadamu siyo rahisi sana kuliwa na mtu yeyote bila sababu, kwenye ulimwengu usioonekana wachawi wanazo bucha zao wanauziana wao kwa wao nyama za binadamu kwa kutumia pesa za kuzimu, pesa za kuzimu ni tofauti kabisa na pesa tunazotumia. Mathalani bei ya maini ya binadamu kwa sasa wanauziana kwa pesa 3,000.00

Karibu vyakula vyote na maji yanayouzwa mitaani au kando ya barabara siyo halisi. Epuka kufanya manunuzi ya chakula kinachotembezwa mitaani kikiwa ndani ya ndoo. Wengi wamekuwa wakidhani wanauziwa wali, lakini mingi siyo wali kwa asilimia zote. Pia epuka kununua vitambaa vya mkononi vinavyouzwa kando kando ya barabara.

Kama kuna kitu kinaumiza watu wengi hasa wasichana na akina mama ni manunuzi ya hereni, bangili, shanga na pete zinatotembezwa mitaani. Nyuma ya vitu hivyo vingi vimebemba roho za mauti.

Kwa ufupi usinunue chakula, maji au mapambo kwa mtu asiyekuwa na makao, kwa maana kwamba hana eneo lake la kufanyia biashara ni mtu wa kuhama eneo moja kwenda eneo lingine na eneo alilofanyia mauzo ya bidhaa zake za mauzauza hutoweka kwa muda hata mwezi au zaidi bila ya kurudi eneo hilo tena.

!
Sasa Majimoto hadi bei hiyo umeijuaje mkuu naona uko juu zaidi ya tunavyokufikiria!
 
Mkuu Majimoto asante sana kwa maelezo yako.. Sasa mimi ninauliza hivi, kwenye vikundi vya maombi vya walokole mara nyingine kunakuwa na wachawi (ma-agent) ambao wanajifanya nao ni walokole humo wakija kuharibu maombi sasa upenyo huo wanaupataje? Na kwa mtindo huo huo wanakuwepo katika sehemu za mikutano ya injili wakija kuleta mambo yao ili watu wasipate kile Mungu alichokusudia. Najua ya kuwa walipo wana wa Mungu na wa shetani nao wapo sasa wanapataje mipenyo hiyo? Kuna tunaowajua kwa macho kabisa na tukiomba na kuwashambulia wanapoteza network lakini bado wanakuwepo tu, Kwa nini?
 
Ha!! Ndugu nyangu makanisa mengi yenye theology ya kimarekani na kinaigeria Ushuhuda unaotolewa na usanii na wanatumia ujanja kama wasanii wenzao anina Manjaunjau wa kula dili na mtu wa mbali na eneo husika na baadae kujifanya wamemtengua akiwa mkwenye safari za kichawi au kuficha madude sehemu na baadaye kusema kuwa wametegua uchawi. basi mbinu hiyo hutumiwa na makanisa hayo "mutatis mutandis'ukiona kanisa lolote limeweka ushuhuda kuwa ni sehemu muhimu ya ibada yao kimbia ufe hapo hakuna kitu ni usanii na wanafanya mazingaumbe ili wapate wateja.Hii abari ya uhuhuda sijui inatoka wapi maana miujiza original ya Yesu ilikuwa haina mabango.hata baada ya kuwaponya wale wakomo 10 aliwakataza wasitangaza. Muumini wa kizazi cha leo uwe makini usije ukawa unahudhuria kenye makanisa unasali,unaimba,unatoa sadaka na zaka ukadhani zinaenda kwa Mungu kumbe zinapinda kwenda kwa shetani kwa sababu ibada na miujiza inayofanyika ni ya nguvu za ibilisi'."CAVIAT EMPTUR'
 
mkuu majimoto
mimi maranyingi sana usiku huwa nahisi kama vile nimevamiwa na mwili huwa mzito sana huwa nahisi kabisa kuna wachawi wananichezea na huwa siwezi hata kutikisika na sometimes huhisi kukabwa ila cha ajabu nikiwa kwenye hali hii huwa najikuta nakemea bila kujijua kwa kutumia jina la yesu na nikiona mpambano umekuwa mkali huomba msaada wa damu ya yesu na moto wa roho mtakatifu hapo hata kama walikuwa wengi kiasi gani na wakali kiasi gani lazima watoke nduki na nikishtuka naona kabisa mwili wangu upo tofauti na najihisi tofauti ninachoshangaa ni kuwa huwa nipo usingizini akili ya kukemea huwa naitoa wapi? Huwa inakuja automatic? Na kwanini? Na cha kushangaza mimi sijasimama sana katika imani japokuwa naamini mungu ndo kila kitu na sina kinga zozote za kiganga!!!!! Na hii huwa inatokea sana siku nikijisahau kulala bila kusali
maelezo tafadhali
nenda hospitali kapime blood circulation yako hasa hasa moyo wako
 
Back
Top Bottom