Mikoa inayoongoza kutoa Mawaziri kwa sasa hapa Tanzania

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,774
Wakati Mikoa mingine hakuna Cha Waziri Wala Naibu Waziri,kina Mikoa bwana ndio inaongoza kutoa Mawaziri.

Mikoa hiyo ni
1. Tanga
2. Pwani
3. Dar
4. Dodoma
5. Ruvuma
6.Nchi ya Zanzibar

Je Mikoa mingine Hakuna wenye sifa za kuwa Viongozi?

My Take
Arusha,Mwanza & Mbeya Kuna Naibu Waziri mmja tuu.

Mwambukusi endelea kukiwasha.
 
Halafu ukitazama kwa makini hiyo mikoa yenye mawaziri wengi ndio mikoa pia maendeleo ya kielimu yapo chini zaidi kuliko mikoa isiyotoa mawaziri wengi!
So tunaongozwa na wajinga?!.
Kwahiyo wewe umesoma?!!! Hatuhitaji kuongozwa na waliosoma tu, tunahitaji kuongozwa na walio na akili aababu wapo waliosoma lakini hawana akili.....comment #5 ni mfano wa mtu asiye na akili, mwehu.
 
Wakati Mikoa mingine hakuna Cha Waziri Wala Naibu Waziri,kina Mikoa bwana ndio inaongoza kutoa Mawaziri.

Mikoa hiyo ni
1. Tanga
2. Pwani
3. Dar
4. Dodoma
5. Ruvuma

Je Mikoa mingine Hakuna wenye sifa za kuwa Viongozi?

My Take
Mwanza & Mbeya Kuna Naibu Waziri mmja tuu.

Mwambukusi endelea kukiwasha.
Wakati mwingine huwa una akili hasa ukiweka uchawa pembeni
 
Kwan humuoni mnyeti naibu waziri kilimo ... mwisho hatutaki hata katibu mkuu ...maana huku Hana kura ,,,,,..
Nipo huku kusini nimepewe majukumu na mkurugenzi ya kuandaa taarifa za chama cha CCM, najiuliza unapokuwa mtumishi wa huma ni lazima kutumikia chama cha ccm wakati huo kada yangu haihusiki na mambo ya siasa, na laani sana huu utawala, unaacha kuhudumia wananchi unapewa majukumu ya chama cha CCM.
 
Ni lazima maana unatekeleza ilani ya chama kama hutaki acha uone na ole wako uoneshe kwamba wewe ni mpinzani hakuna rangi utaacha kuiona.
 
Nipo huku kusini nimepewe majukumu na mkurugenzi ya kuandaa taarifa za chama cha CCM, najiuliza unapokuwa mtumishi wa huma ni lazima kutumikia chama cha ccm wakati huo kada yangu haihusiki na mambo ya siasa, na laani sana huu utawala, unaacha kuhudumia wananchi unapewa majukumu ya chama cha CCM.
Ni umma mkuu sio huma
 
Wakati Mikoa mingine hakuna Cha Waziri Wala Naibu Waziri,kina Mikoa bwana ndio inaongoza kutoa Mawaziri.

Mikoa hiyo ni
1. Tanga
2. Pwani
3. Dar
4. Dodoma
5. Ruvuma
6.Nchi ya Zanzibar

Je Mikoa mingine Hakuna wenye sifa za kuwa Viongozi?

My Take
Mwanza & Mbeya Kuna Naibu Waziri mmja tuu.

Mwambukusi endelea kukiwasha.
Mikoa yenye mapato makubwa ndio inatengwa mfano Arusha sijui kuna naibu waziri mmoja tuu, Mwanza hakuna kitu kabisa Mbeya si ndio wana spikaa
 
Back
Top Bottom