Biashara ya Uchawi Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya Uchawi Tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Majimoto, Jan 30, 2011.

 1. Majimoto

  Majimoto Senior Member

  #1
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 138
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Mikoa saba nchini Tanzania ndiyo tishio kwa kuwa na nguvu kubwa za uchawi
  1. Tanga ndio kinara
  2. Lindi unafuatilia
  3. Dar es Salaam
  4. Mtwara
  5. Tabora
  6. Kigoma
  7. Mwanza

  Mikoa yenye wachawi wengi, kwa maana kwamba karibu kila kaya kuna mchawi
  1. Sumbawanga (Rukwa) ndio kinara
  2. Ruvuma inafuatialia
  3. Mbeya
  4. Singida

  Mikoa ambayo wananchi wake ndio wateja wakuu wa wachawi
  1. Kilimanjaro inaongoza
  2. Morogoro inafuatilia
  3. Kagera

  Wateja wengine wa wachawi
  1. Wafanyabiashara
  2. Wasanii
  3. Kina mama wa nyumbani
  4. Wanafunzi wa shule za sekondari hasa wa kidato cha pili.
   
 2. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2011
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu hiyo namba nne kuna siri gani hapo? Mbona viongozi sijawaona hapo maana nasikia nao ni wateja wakubwa wa uchawi.
   
 3. locust60

  locust60 Senior Member

  #3
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 1, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hongera kwa utafiti huu imekuchukua muda,nahisi itakuwa imekugharimu miaka kadhaai kubaini hayo yote.Sasa mbona umewakilisha kama si greater thinker wapi takwimu?
   
 4. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Viongozi ni wateja wazuri, lakini idadi yao siyo kubwa
   
 5. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35

  Vipi wafanyakazi wa serikali wenye ngazi za juu?
   
 6. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu hii ripoti imetoka redet au, sababu sioni viongozi wa umma, wabunge na madiwani????
   
 7. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Acheni masihara, gusa madereva gov, wakienda likizo gari agusi mtu, mhh na Musoma vijijini kewtu huku mhh ni noumer
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mooods...!
  Tunaomba jukwaa la uchawi na wanga.
   
 9. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mie nadhani viongozi either ni #1 au #2. Maana hao bila hilo ni hawashindi
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,467
  Likes Received: 4,126
  Trophy Points: 280
  ahahahahaaah!!
   
 11. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Sosi pliiiiiiiiiiiizi, ni own research findings(tupe ststisticalsuport) au uliota usiku?.
   
 12. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hivi uchawi ndio nini?
  Au ni nadharia za chuki tu?
  Mbona uchawi hautaji mafanikio kwa wema.
  Nikutaja uchawi kwa chuki hata kama mtu amefanikiwa utasikia mchawi huyo!
  Mara mwanga huyo!
  Mshirikina huyo!
  Kama mtu amefanikiwa tatizo liko wapi jaman?
  Nipeni ufafanuzi mnanitisha saaaaanaaaa!!!
   
 13. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 180
  Iweje mikoa ambayo ndiyo maarufu kwa uchawi isiwe na wateja wengi wa uchawi? Au kila mtu katika mikoa hiyo ni gwiji la uchawi? Kilimanjaro na Kagera ni mikoa inayoaminika kuwa na watu ambao wamepevuka kidunia (wasomi). Na mtu msomi, kama ni msomi kweli, hawezi kuyapa kipaumbele mambo ya uchawi. Anatumia ubunifu, maarifa, bidii na uzoefu. By definition uchawi ni primitiveness. Tupe ushahidi wa uteja wa mikoa hiyo miwili.
   
 14. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #14
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Ndevu mbili,
  Siyo kweli kabisa kuwa kila mafanikio ya mtu husababishwa na uchawi, mafanikio ya mtu ni bidii yake mwenyewe, jinsi anavyojituma na kumtegemea Mwenyenzi Mungu. Hakuna tatizo lolote kuhusiana na mafanikio ya mtu.

  Isipokuwa yapo mafanikio ya watu yenye utata, ambayo yanaambata na nguvu za shetani. Mkoa wa Lindi ambao ndio wa pili wenye wachawi wakubwa nchini, ukienda kwa hawa jamaa wanaojiita wataalamu, ni lazima utembee kwa miguu kwa siku tatu ndipo ufike walipo. Wao wanagawa utajiri, lakini masharti yao ni lazima uwape mke, mtoto au mzazi wako, au utakuta ndani ya familia hiyo kuna mtoto ambaye ni zezeta au taahira, na watoto wa namna hii ukiondoa nguvu ya uchawi uliwekwa ndani yao wanapona na wanakuwa sawasawa kabisa, kama watoto wengine.(Wapo watoto wanazaliwa na utaahira na wapo wanao pewa utaahira wa kupata mali unaosababishwa na wazazi au walezi wao hawa wa kundi la pili ndio ninawazungumzia)

  Sasa hivi kidogo wamelegeza masharti, wao watakupa mali nyingi sana kwa mkataba wa miaka mitatu au mitano, muda huo ukifika ni lazima, ni lazima tu utakufa, warithi wa mali zako zenye mikataba ya kifo, nao wakimaliza miaka hiyo nao wanakufa.
   
 15. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #15
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Sasa hivi zipo shule kabisa za kufundisha uchawi nchini Tanzania, Shule moja ipo Temeke masomo yake huchukua miaka saba hadi unahitimu.

  Ukimaliza Temeke, unaweza kujiunga na elimu ya juu katika fani ya uchawi, chuo kipo Tanga hapo wanatoa digrii ya kwanza ya uchawi kwa miaka mitano.

  Wanatoa pia digrii ya pili ya elimu ya ulozi ambapo utakaa darasani kwa miaka mingine mitano.

  Master digrii ya ulozi, bado hapa nchini hakuna chuo, inapidi uende Mombasa nchini Kenya ndipo kilipo chuo kikuu cha elimu ya ulozi.
   
 16. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #16
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280


  Nilikuwa natafuta Mkoa wa IRINGA kule ambako kaburi halihamishiki sijauona.
   
 17. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #17
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Uchawi ndio sijajibiwa ni nini?
  Hata hivyo hizo juhudi na maarifa inaweza kua ndio uchawi wenyewe.
  Sijui unakusudiwa ugagula ndio hayo?
  ikijulikana maana ya uchawi ni rahisi kueleweka!
   
 18. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #18
  Jan 31, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Wacheza mpira huu wa kibongo inakuwaje?
   
 19. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #19
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kigoma ilikua zamani kuna kijiji nliambiwa kinaitwa Makere-ushingo-wilaya ya Kibondo. .... unanunua radi na majaribio wayafanya hapo hapo....
   
 20. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #20
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Magazeti hutaja hapo kwenye red kwanini iwe ni mkoa huo huo wanaojitungika kqa issue ndogo tena ya mapenzi?
  Kuna siri gani huko!
   
Loading...