Biashara ya Tangawizi kwisha kabisa

Biashara ya Tangawizi kwisha kabisa

Ulikuwa unapigwa tangawizi ukishafika Kariakoo usiingie Sokoni shimoni uliza ulipo mtaa wa Bonde maskani ya Wasambaa na Wapare wenyewe wanapaita Maputo pale wakati ule habari za Corona zimechachamaa nilikuwa nanunua 1Kg kwa 1,500/= juzi jumatatu nimenunua kwa 1,200/= pale sokoni huwa wanaenda kuokota pale wanakuja kuwapiga watu hapo shimoni.

NB;kwa mlokuwa mmezoea ule mchanganyiko nawashauri tuendelee kutumia kwani hata kama siyo Corona miili itasaidika kwa namna nyengine,mwanzo nilikuwa nakunywa chai jioni but sasa nimebadilisha na nimeshazoea tangawizi kali,kitunguu twaumu mixer limao na asali nikipiga mchanganyiko huu najisikia barabbara kabisa!
 
Namba kitu pale
Aisee Bora Mama arudi maana nilijua kuhusu Tangawizi upareni kupitia harakati za Mama Kilango. Huyu wa Sasa naona labda bado anajifunza Ili 2020-2025 aanze kulisemea. Upareni miliman Kuna hazina Sana ila hakunaga wa kusimamiaa
 
Kabisa, na yule mama Magu lazima atamuona, na Magu anampenda sana Mzee Malecela
 
Tu-export tangawizi na binzari zinahitajika sana Ulaya, Marekani na India
 
Back
Top Bottom