Biashara ya Tangawizi kwisha kabisa

Biashara ya Tangawizi kwisha kabisa

Diaspora tafuteni mumletee Prof. Atutangazie

Mie nadhani kuwa na kiwanda chq tangawizi hapa Tzee ni ngumu...!
Sababu ni moja!...hakuna umoja...kuweka kiwanda itahitahji uzalishaji mkubwa sana!huwez kutegemea mavuno ya msimu kuendesha kiwanda utaishia kuchizika tu kama Yule mbunge wa Kahama!..itatupasa tulime mashamba mengi zaidi na kisasa zaidi..ikiwezekana kushirikiana...hiyo hapa ni ishu naamini.!
Ni kama nyanya tu.. Nao matajiri wanaangalia mbali... Mfano kiwanda kinahitaji tons laki moja sisi kama nchi inazalisha chini ya tani 1000!kituko!
(Nawaza tu)
 
Viwanda tuwaachie Wahindi na waarabu sisi tuendeleze Kilimo na uchuuzi
 
Mie nadhani kuwa na kiwanda chq tangawizi hapa Tzee ni ngumu...!
Sababu ni moja!...hakuna umoja...kuweka kiwanda itahitahji uzalishaji mkubwa sana!huwez kutegemea mavuno ya msimu kuendesha kiwanda utaishia kuchizika tu kama Yule mbunge wa Kahama!..itatupasa tulime mashamba mengi zaidi na kisasa zaidi..ikiwezekana kushirikiana...hiyo hapa ni ishu naamini.!
Ni kama nyanya tu.. Nao matajiri wanaangalia mbali... Mfano kiwanda kinahitaji tons laki moja sisi kama nchi inazalisha chini ya tani 1000!kituko!
(Nawaza tu)
Kiwanda nipo hapo upareni. Ila ni kidogo sana kulingasha
 
Back
Top Bottom