Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,486
Msimu ..Limao sasa hivi hayashikiki kabisa bei yake, sijui tatizo ni nini
siyo msimu wake
Msimu ..Limao sasa hivi hayashikiki kabisa bei yake, sijui tatizo ni nini
Kumbe! Kalimao kadogo hakana hata maji 500Msimu ..
siyo msimu wake
wanachuma machanga,yatakolea JanuaryKumbe! Kalimao kadogo hakana hata maji 500
Naamini hapa Kuna wengi waliopata hasaraBarakoa nazo vipi ?
KawaidaNaamini hapa Kuna wengi waliopata hasara
Soon. Januari mbali.
Mkuu tuambizane hayo machimbo ya swaumu maana mzigo upo wa kutoshaKuna sehemu kg ya swaumu ni elfu 45000 tsh.
Tangawizi ni elfu 40000tsh.