Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,683
Yani ukiniwekea dislike adi natamani kulia, au hujui we ndio crush wangu😏😏😏😏😏
Yani ukiniwekea dislike adi natamani kulia, au hujui we ndio crush wangu😏😏😏😏😏
Labda Afrika, ulaya watasema hazina viwango mara oooh mnatumia mbolea zenye sumu, tabu tupu!Hivi kila nchi wanajilimia Tangawizi? Je hatuwezi kutafuta masoko ya uhakika huko nje?
Kuna rafiki yangu anahangaika na soko, namshauri bora aponde auze unga wake kuliko kuziacha zikaozea shambani!Tangawizi iliporomoka rasmi 2015!ikazikwa rasmi! Lakini ninakumbuka Kilango alikua ana mpango wa kusimjna kiwanda kwao kule ..sijui iliishiaje!
Kuna rafiki yangu anahangaika na soko, namshauri bora aponde auze unga wake kuliko kuziacha zikaozea shambani!
Hahahahahahah! We jamaaKuna jamaa alikodi Canter miezi 3 anafuata Tangawizi upareni. Akiuona huu uzi hachelew kuligongesha mtaroni.Pole yake
huku niliko kilo 3500..kijiji kabisa..kipo rukwa..na kuna jamaa yangu anatoa mzigo tukuyu analeta huku...gunia halizidi siku 2 limeisha..anapiga hela mara 2 ya bei aliyonunulia kiroho safi..sasa hv ukimwambia Vp, bdo unasikilizia ajira,anabaki kucheka tu!!Wale Ndg. Zangu wa kutumia fursa nawapeni taarifa kiroho Safi biashara ya Tangawizi ishaingia MDUDU huko kilo 1 kwa Sasa 800 TZS kutoka @5,000/= wiki moja iliyopita.
Source: Sokoni Kariakoo Shimoni.
Wape mchongo wadau washushe fuso za kutoshahuku niliko kilo 3500..kijiji kabisa..kipo rukwa..na kuna jamaa yangu anatoa mzigo tukuyu analeta huku...gunia halizidi siku 2 limeisha..anapiga hela mara 2 ya bei aliyonunulia kiroho safi..sasa hv ukimwambia Vp, bdo unasikilizia ajira,anabaki kucheka tu!!
Tatizo watu wanajua fursa zipo mjin tu..kijijin kuna fursa nying za kupiga hela nyingi sana kuliko mjin..ndo maana watu wa mjin wamebak kuigana tu biashara ambazo zinalipa ila si kivile..karibun kijijin jmnWape mchongo wadau washushe fuso za kutosha