Habari zenu wadau.
Mimi nahitaji kufanya biashara ya simu pamoja na ear phones, cover za simu, chaja za simu.
Naomba ushaur wa hii biashara wapi naweza kupata hizi bidhaa kwa bei ya jumla, pia na changamoto za hii biashara, nipo kusini huku mwa tanzania