fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,598
- 4,472
Habarini ndugu wapendwa,kama mwana jf nimekua nikisikitika na kustaajabika sana kwa hii biashara ya simu za mikononi humu Jf
Wengi wamekua ni matapeli na kuwauzia watu simu mbovu kwa kisingizio cha mtu huyo kua na shida kama sababu muhimu kwake ya kuiuza.Sikatai kua wapo watu kweli wana utu na wanauza kwa minajili ya kusolve matatzo yap na SIMU wanazouza hazina tatizo lolote,ila asilimia zaidi ya 80 ni waongo,wenye kupenda kuwaachia wenzao matatizo na hutumia chance ya kutokujuana na kumuuzia mtu simu Mbovu.
Kwa heshima ya jukwaa hili,ninaomba hili zoezi kwanza lingethitishwa na mood kuweka utaratibu mzuri katika hili ili kutoligeuza jukwaa hili kama sehemu ya kuhalalisha utapeli wa watu mbalimbali katika kuuza SIMU Mbovu, Tusije fikia kama mitandao ya KUPATANA ambapo kesi hizi zimeshamiri kwa kiasi kikubwa na kupelekea kupotea kwa ile thamani yake iliyokuepo mwanzon kama mtandao wa kuuza na kununua bidhaa mbali mbali.
USHAURI kwa ndugu zangu kwenye nia nzuri ya kupata SIMU kwa BEI nafuuu,tahadhari ni muhimu sana kwako na jiepushe na kupenda SIMU za bei nafuu ni majanga matupu na utakuja juta usipo kua makini.