Ukisoma vizuri tangazo unaelewa ukitaka dukani zipo za jumla zina bei yake na ukitaka bei ya kiwandani pia zipo ndiyo unatoa pesa tunakuagizia simu moja 17000 mpaka kukufikia
Amekutapeli nini wabongo mbona mnapenda ku criticize Kila kitu...? Weka wadhi alicho kutapeli nje ya hapo huo ni ujuha...mtu hujafanya nae kazi utamwitaje TAPELI...?
Amekutapeli nini wabongo mbona mnapenda ku criticize Kila kitu...? Weka wadhi alicho kutapeli nje ya hapo huo ni ujuha...mtu hujafanya nae kazi utamwitaje TAPELI...?
Dah bonge la idea ,je hiyo milioni moja laki Saba ya kuagizia ni pamoja na makato yenu kabisa ninyi Kama watu wa Kati au Kuna gharama zingine baada ya mzigo kufika ?