steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,191
- 1,629
Acha utapeliKaribu huenda unatamani kujiajili lakini hauna mtaji njoo uanze biashara ya simu za nokia
Kwa mtaji wa tsh milioni na laki saba unaweza kupata simu nokia 105 pisi 100 ambapo nitakuagizia kila pisi moja kwa 17000 tu mchina anataka tuagize kuanzia pisi 100
Unaweza kujiunga na mwenzio mkaagiza mkaanza biashara hii yenye faida kwakuwa simu za nokia ni pendwa
Pia ukitaka bei ya jumla ya dukani kila simu moja tsh 22000 kuanzia pisi tatu pia ukihitaji moja nakuuzia kwa tsh 25000 tu
Tupo kariakoo mikoani unatumiwa kwa uaminifu
Call or WhatsApp +255713861567
Bro unanikosea kuniita tapeli kutofahamu jambo aimaanishi jambo halipo kilichokushangaza ni bei? Sasa hizo ndiyo bei zakeAcha utapeli
Unaagiza Kwa mtaji wako au hauna hela wewe unakua kama dalali, uletewe pesa ndio uagize?Bro unanikosea kuniita tapeli kutofahamu jambo aimaanishi jambo halipo kilichokushangaza ni bei? Sasa hizo ndiyo bei zake
Umesharudi Tanzania Au Bado upo Arabuni? Hizo Pisi zote unauza 29000 au ni kwa moja?ninazo pc 37 za 106 vipi unaweza kuuchukua wote mkuu...kwa 29,000/=
kwa moja mkuu...bado nipo DubaiUmesharudi Tanzania Au Bado upo Arabuni? Hizo Pisi zote unauza 29000 au ni kwa moja?
Nitumie watsap namba yako tutete kidogokwa moja mkuu...bado nipo Dubai
+255759170794Nitumie watsap namba yako tutete kidogo
Hizi unaweza kuagiza kuanzia 10 kwa 170000Wazo zuri ila vijana wengi tatizo mitaji
Ukihitaji mchanganyiko unapataingekua simu mchanganyiko sawa lakini kununua za aina moja tu una jifia nazo dukani umo
Kama hauna pesa jitangaze kabisa wewe ni dalali na utapata bei gani kama kamishen mtu nimeweka bei ya kuchukua dukani na bei ya kuagiza
Ukija dukani unachukua kwa bei ya dukani zipo ukitaka kuagiza lazma uotoe hela yako tukuagizie kwakuwa baadhi ya watu unaweza kuagiza kwa pesa yako zikifika anaanza maelezo mengiUnaagiza Kwa mtaji wako au hauna hela wewe unakua kama dalali, uletewe pesa ndio uagize?