Biashara ya Samaki vs Maziwa

mm mwenyewe nina kamtaji nawaza kuingiza mafia na sijawahi fika na Sina ndugu Ila naendea samaki nipeleke Lindi sijajua naanzaje
Uaiende mbali kwanza.anzia kilwa ama nyuni..na je unavyo vifaa na utaratibu wa lindi unaujua?
 
Wasalaam.ndugu zangu nimekiwa domant sana hasa kipindi hiki kigum...wale wanaotaka kujua network ya samaki wanatakiwa kujua ni aina gani ama ni angle gani washikilie.binafsi mm nipo kwenye prawns na lobster.hasa napeleka viwandani...biashara ya samaki iko wide sana sasa yabidi ujue unataka kufanya nn kwenye samaki
Mkuu vipi bado unapeleka samaki viwandani?
Naomba ABC namna unavyoifanya hii biashara na ikakulipa
 
Mkuu vipi bado unapeleka samaki viwandani?
Naomba ABC namna unavyoifanya hii biashara na ikakulipa
Njia ni mbili tu...uwe na mtaji mkubwa uingie kwenye line. Kuanzia kwenye mavuvi mpaka sokoni au Kama huna mtaji wa kutosha basi jikane na ujikatae kwelikweli na ukaze kwelikweli..usiwe na muda wa kulala kwako..uwe unalala dagoni na kusafiri usiku..uishi Kama digidigi kwa muda utafanikiwa..
N.b usiwe mkata tamaa Mana nilifeli zaidi ya Mara sita yasaba ikanionyesha mwanga..
 
Back
Top Bottom