Biashara ya Samaki vs Maziwa

hongera sana umepambana sana ndugu uza mtindi, maziwa fresh, na bites hiyo itakutoa zaidi ya hapo kwani hata mm nataka niingie kwenye biashara hiyo ya mtindi ila angalia eneo zuri la hiyo biashara mkuu
 
Ni ngum sana kufikiria nje ya box.kwani waliokuwa wakinipnga kuanzia milk point pia wamenipinga kwenye hii malle fishery company Ltd.nikiongelea samaki hivisasa sifikirii wale wa mabuchani au mafungu ya dagaa. I think something big.na kama kuna kijana ameipenda basi twende sawa kwenye hii haso ya kupugana kiume.
 
Thanks so much
 
Samaki wana demand kubwa mno kwenye soko la kimataifa.nimevutiwa sana kufanya biashara ya mafuta ya samaki na kuexport lobsters na salmon.najitahidi kukua kitoka local to international.
 
Ahsante sana mkuu suala la korosho linanipasua kichwa nazihitaji mno..pia kuhusu hizo aina za kahawa nazifanyia kazi...Khan kifaa kinaitwa milk brother nakitafuta sana
Suala la korosho kama hutojali nitakusaidia namna ya kuzipata mkuu nicheki Pm
 
hongera sana umepambana sana ndugu uza mtindi, maziwa fresh, na bites hiyo itakutoa zaidi ya hapo kwani hata mm nataka niingie kwenye biashara hiyo ya mtindi ila angalia eneo zuri la hiyo biashara mkuu
Kwa Dar es salaam maziwa na mtindi unatoa wapi mkuu
 
Aisee I salute you una roho ya upambanaji sna

Wachache sna wanaoweza kuconvert 42000 na kutoboa
Ni ngum sana kufikiria nje ya box.kwani waliokuwa wakinipnga kuanzia milk point pia wamenipinga kwenye hii malle fishery company Ltd.nikiongelea samaki hivisasa sifikirii wale wa mabuchani au mafungu ya dagaa. I think something big.na kama kuna kijana ameipenda basi twende sawa kwenye hii haso ya kupugana kiume.
 
Naomba kufahamu mchanganuo wa biashara ya samaki wa maji chumvi,hasa kwa wanaochukua mzigo kivukoni(dar es salaam)
 
Wasalaam.ndugu zangu nimekiwa domant sana hasa kipindi hiki kigum...wale wanaotaka kujua network ya samaki wanatakiwa kujua ni aina gani ama ni angle gani washikilie.binafsi mm nipo kwenye prawns na lobster.hasa napeleka viwandani...biashara ya samaki iko wide sana sasa yabidi ujue unataka kufanya nn kwenye samaki
 
Watanganjia wenzangu bomoabomoa ili ninomoelea biashara ya maziwa..ila nimejiuliza je nisingekuwa na biashara nyengine ningefanyaje?Hapa pia tupate somo la kuwa na sehem rasmi kwa ajili ya biashara na pia tuwe na biashara zaidi ya moja..get ready muda wowote na resume biashara ya cafe ila itakuja kitofauti zaidi
 
Naomba kufahamu mchanganuo wa biashara ya samaki wa maji chumvi,hasa kwa wanaochukua mzigo kivukoni(dar es salaam)
Samaki wa kivukoni wana mitindo minne. Moja kulangua na kuuza pembeni..kununua pc na kuuza mahotelini.kulangia na kwenda kukaanga mitaani.kupoint na kuuzia wadosi wako.wewe unatakaje
 
Back
Top Bottom