RUDVANNESTROOY
Member
- Dec 12, 2012
- 69
- 14
Habari wana jf! Naomba kwa anae jua kuhusu bei halisi ya pikipiki aina ya boxer na fekoni kwa sasa pamoja na leseni kila kitu mpaka kuimiliki kwa matumizi inagharimu shilingi ngapi? Pia naomba kwa anyefahamu biashara hii ya bodaboda anishauri kuanzia aina ya pikipiki inayofaa,bei,biashara ilivyo na je inalipa kwa sasa? Naomba ni pm kama unafahamu kuhusu biashara hii.