Biashara ya pikipiki aina ya boxer au fekoni.

Dec 12, 2012
69
14
Habari wana jf! Naomba kwa anae jua kuhusu bei halisi ya pikipiki aina ya boxer na fekoni kwa sasa pamoja na leseni kila kitu mpaka kuimiliki kwa matumizi inagharimu shilingi ngapi? Pia naomba kwa anyefahamu biashara hii ya bodaboda anishauri kuanzia aina ya pikipiki inayofaa,bei,biashara ilivyo na je inalipa kwa sasa? Naomba ni pm kama unafahamu kuhusu biashara hii.
 
Ujasiriamali ni kupata faida pale pasipotegemewa.
Acha kukurupuka na kuropoka ovyo Jomba,kama hujui kaa kimya sio unajibu pumba hata kilicho ulizwa hujui.mnakele sana watu wa nama hii.Tembea mbele ww kilaza,unaishi kwa kukalili.eti unajifanya mwelewa wa ujasiriamali huna lolote kilaza ww
 
Fekon 1.65m,
boxer 2.1m,
motor v, nil
kofia 2, 25k,
unatakiwa ununue si chini ya tatu kuona faida. Ni samehe mkuu zilikua pombe tu. Ila tegemea wateja walevi kama mimi kwenye shughuli zako za kila siku.

Asante!Kweli pombe nomaaaa,kumbe unajua sema pombe iliingilia kati na kukufanya uonekane kilaza.Ok! natengua kauli yangu kuwa ww ni kilaza.Hapo umeonyesha uzalendo wa kitanzania
 
Fekon 1.65m,
boxer 2.1m,
motor v, nil
kofia 2, 25k,
unatakiwa ununue si chini ya tatu kuona faida. Ni samehe mkuu zilikua pombe tu. Ila tegemea wateja walevi kama mimi kwenye shughuli zako za kila siku.

Kuna watu wachache sana wa aina yako; si rahisi kutukanwa, pengine hata na mtu usiyemfahamu, kisha ukajibu kwa upole na toba. Inawezekana kabisa "Mbingu" ni ya watu wa aina hii. Umenitia moyo sana. Tulio wengi tunalipiza ovu kwa ovu zaidi!

Asante sana pia kumpatia ndugu ushauri mzuri juu ya bodaboda.
 
Yaani kweli jamaa mstaarabu sana na watu kama hawa mungu yupo nao pamoja sana.
Mie sijaona kama jamaa alijibu vibaya pale.

Nahisi ni uelewa wa huyu mtu,na hii inaweza kufanya akagombana na watu wa bodaboda kila siku,maana biashara hii kama ni mtu wa kujibu hovyo utajikuta kila siku dereva anakurejeshea pikipiki yako.
Cha,ubarikiwe mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom