Biashara ya Pastor Tony iko mashakani

Usisahau soko la wapumbavu wa imani ni kubwa.
Bado na watajaa, halafu kila mtu ataondoka kwa muda wake baada ya kupigika vya kutosha
 
Huyu mwanamke yawezekana anapitia msongo wa mawazo tony anaonekana malaya mno
 
Uliona wapi mkristor anaakili
Tunajua umeyashika sana mafundisho ya Balaamu, yeye aliyemfundisha Balaki atie ukwazo mbele ya Watu walio kubali kumfuata Yesu Kristo. Unataka wayashike mafundisho ya Wanikolai huku umejivika roho ya Yezebeli uwafundishe watumishi wa Yesu Kristo na kuwapoteza, ili wazini na kugeukia ibaada za sanamu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…