Game over.. !!!!Siku za hivi karibuni amemfungulia mke wake ambaye ameonekana ku- trend na shuhuda tata,kama vile kujaza mtungi wa gas kwa kupulizia na mdomo,kuwachukia wanaume wanaolala kwamba bora wakazini na kumtishia dereva wake siku akimuona analala atamuua.
Pia kuna video fupi inaonesha akishuhudia kwamba kila akitoka safari anawachapa watoto bila sababu ili wamwambie walifanya makosa gani.
Ninavyojua waumini wake wengi ni wanavyuo ambao wengi huenda kanisani hapo kubahatisha huenda
atapata demu au demu atapata mchumba.
Lakini kwa hali hii ya mke wa Tony jinsi anavyoharibu na Tony mwenyewe alivyokuja kujiinua na kuwatukana washirika wake kuwa hawana hela ni maskini wakubwa,
Ninaanza kuona jinsi kiburi kitakavyoamua anguko lake.
Biashara yake sio muda mrefu inaweza kuharibika
Wale wanaosali kwa Tony hawajielewi na ni mateka wake.Siku za hivi karibuni amemfungulia mke wake ambaye ameonekana ku- trend na shuhuda tata,kama vile kujaza mtungi wa gas kwa kupulizia na mdomo,kuwachukia wanaume wanaolala kwamba bora wakazini na kumtishia dereva wake siku akimuona analala atamuua.
Pia kuna video fupi inaonesha akishuhudia kwamba kila akitoka safari anawachapa watoto bila sababu ili wamwambie walifanya makosa gani.
Ninavyojua waumini wake wengi ni wanavyuo ambao wengi huenda kanisani hapo kubahatisha huenda
atapata demu au demu atapata mchumba.
Lakini kwa hali hii ya mke wa Tony jinsi anavyoharibu na Tony mwenyewe alivyokuja kujiinua na kuwatukana washirika wake kuwa hawana hela ni maskini wakubwa,
Ninaanza kuona jinsi kiburi kitakavyoamua anguko lake.
Biashara yake sio muda mrefu inaweza kuharibika
Anategemea sasaKapora hategemei hilo kanisa kuendesha MAISHA yake.
Ni Kama unvyoona wale vijana wa Makumbusho wanauza Simu mbili katika frame .
Maana hao Jobless na wanafunzi wa Chuo unafikiri wanaweza kutoa sadaka kiasi gani ambayo itamfanya anunue gari la 300M
Makanisa mengi yanatumika kutakatisha PESA hapa TanzaniaAnategemea sasa
Ni kweli yeye ndo mwenye iyo Calling Sasa akiendelea kumwendekeza uyo manzi wake kwa jukwaa...atapeperusha njiwa porini...Siku za hivi karibuni amemfungulia mke wake ambaye ameonekana ku- trend na shuhuda tata,kama vile kujaza mtungi wa gas kwa kupulizia na mdomo,kuwachukia wanaume wanaolala kwamba bora wakazini na kumtishia dereva wake siku akimuona analala atamuua.
Pia kuna video fupi inaonesha akishuhudia kwamba kila akitoka safari anawachapa watoto bila sababu ili wamwambie walifanya makosa gani.
Ninavyojua waumini wake wengi ni wanavyuo ambao wengi huenda kanisani hapo kubahatisha huenda
atapata demu au demu atapata mchumba.
Lakini kwa hali hii ya mke wa Tony jinsi anavyoharibu na Tony mwenyewe alivyokuja kujiinua na kuwatukana washirika wake kuwa hawana hela ni maskini wakubwa,
Ninaanza kuona jinsi kiburi kitakavyoamua anguko lake.
Biashara yake sio muda mrefu inaweza kuharibika
Makanisa mengi yanatumika kutakatisha PESA hapa Tanzania
Ameamua kupuyangaSiku za hivi karibuni amemfungulia mke wake ambaye ameonekana ku- trend na shuhuda tata,kama vile kujaza mtungi wa gas kwa kupulizia na mdomo,kuwachukia wanaume wanaolala kwamba bora wakazini na kumtishia dereva wake siku akimuona analala atamuua.