Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
Kuna mkazi mmoja hapo kwa jina la Eiyer lbd anafahamu zaidi kuhusu hizi biashara! Lbd atujuze kidogo kulikoni hapo mwanza??
Do you think this has something to do with me?
If yes,tuko wengi Mwanza including shehe wa mkoa,kwanini usimtafute shehe wa mkoa huu ukamuuliza kuhusu hii kitu? maana wapo hadi wafuasi wa dini mnyaazi mungu!