Ninachoshangaa wateja wao mnakuja kulalamikia humu,mkikutana nao hata hamsemi kitu nyie nikununua tu commodity
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mkuu huyu n mhusika maana nawajua hawa,wanabandua watt nafs zinawasuta wanakuja humu
Ninachoshangaa wateja wao mnakuja kulalamikia humu,mkikutana nao hata hamsemi kitu nyie nikununua tu commodity
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Habari zenu,biashara hii ya ngono imeshamiri sana, maeneo mengi tanzania ukiwemo mkoa wa MWANZA, lakini kinachonikera zaidi ni nyumba ambazo zimepangshwa na hawa madada poah,na biashara hii kuendelea hadi mchana,kilichonikera zaid had watoto wenye miaka 13-16 wakijihusisha ktk biashara hii,mfano-leo nimeshuhudia mtoto wa miaka 13 akichukuliwa na mjibaba mwenye takriban 40-45 yrs kwa buku 5..je,hii kwel ni haki?...next time nitataja maeneo hayo ili VIRANJA wafatilie..kwa undani! UPDATEDBOY
c kwamba ciwez 2kiamua inawezekana

Nchi ikitawaliwa na hisia za bongo fleva kila mtu anataka kuwa msanii, hii ndiyo wanaita fursa kwa vijana. Inasikitisha sana.
Wanawake karibia wote(~95%)wanajiuza au walishawahi kuuza.so lazima akajipange barabarani usiku
.wengine wanaajira Zao mfano mamalishe barmaid w/biashara n.k.Na wanaume karibia wote (~99%)walishanunua
the greater the demand the higher the supply. to every force there is equal and opposte reaction. A person will repeat aa certain action if the rewarded him or her.
Uchumi mbaya na uwezo wa kufikiri mbali..
sasa 2tadhibi vp?
ila cyprian kuna mabnt wengne unakuta kwao wanakila k2,bt she stlls sells her body
Kuiua CCM ili isichukue nchi kunako 2015 kwa kutowapigia kura ili kikija chama kingine kiweke mazingira mazuri ya ajira kwa vijana kwani CCM imeshindwa kuendesha nchi. CCM wanawatumia Clouds media kujitangaza kwa kupitia ujinga wao wa fursa kwa vijana huku nchi inaibiwa.
xo xoln ya hapo n nin?
​Karibu.
- Hili tatizo si la mwanza pekee. Ni maeneo mengi ambayo yameripotiwa kuwa na hii biashara ya ngono.
- Mfano kuna huu uzi hapa
Code:[URL]https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/533420-mambo-usiyoyafahamu-kuhusu-biashara-ya-ngono-mitaa-ya-manzese-mitaani-na-guest-house-3.html[/URL]- Swala kubwa la kujiuliza na kulijadili ni nini kifanyike ili kuwanusuru hawa watoto wadogo na kupunguza kasi ya hili tatizo?
Ukahaba ni wa tangu enzi na enzi. Pawekwe nyumba na mtaa maalum wa dhambi, serekali iwatoze tu kodi, iwape pia huduma stahiki. Akionekana mtoto huko ndiyo adhibitiwe, tutapiga kelele huko vyumbani hao mnaosema ni watoto wanawabaka babu zao ili wapewe hiyo buku 5.
Elimu kwa jamii pia iongezwe kama ipo, mi sijaiona wafunzeni hao majibaba kuwa kumvulia nguo mjukuu ni kumlaani huenda ikasaidia.
Hakika wewe ni mteja wao!!hata maandishi yako yanakuonyesha.