Biashara ya mihogo mikavu zaidi ya tani 3 inahitajika China

Mimi Nna ekari 50 rufiji,ikwiriri panafaa kwa kilimo cha mihogo...Kama kuna mtu ana plan,Idea nzuri ya kilimo cha mihogo aje pm tuyajenge....mimi nko tayari kutoa ardhi kwa makubaliano tukatayo kubaliana

Ova
Tutagawana faida kwa 20% kwa 80%
 
Daa, jamaa yaani wewe ni wa home kwetu.
Mimi kwetu ni Mvugwe sokoni. Kama soko litakuwa ni zuri basi itakuwa ni neema kwa watu wa Kigoma, make kule kuna watu wana mastoo makubwa ya muhogo ila tatizo ni bei.

Halafu hao wanaosema eti njaa itaingia ni wapotoshaji wakubwa, hivi utamkuta mtu wa Mvugwe au Busunzu anakula Mzyenge? Huku kwetu ukionekana unakula ugali wa mhogo watu hujua wewe ni maskini, popular ni ugali wa mahindi, Ova.
 
Mimi Nna ekari 50 rufiji,ikwiriri panafaa kwa kilimo cha mihogo...Kama kuna mtu ana plan,Idea nzuri ya kilimo cha mihogo aje pm tuyajenge....mimi nko tayari kutoa ardhi kwa makubaliano tukatayo kubaliana

Ova
Nitakutafuta Mwenyekiti
 
KILO 1 KWA 300 NI UJINGA.

WACHINA JANJA SANA UNAJUA MIHOGO MIKAVU INAKUWA NA UZITO KIDOGO SANA KAMA PAMBA KWA HIYO KILO 1 IMAGINE UNAWEZA KUJAZA HATA NDOO YA LITA 20,SASA ILI UPATE ANGALAU 30,000 UWE NA NDOO 100; KWA NINI WASINUNUE UNGA WA MHOGO.
Wewe kweli ni Great Thinker, kuna Watu wanapuuza hili. Kuna ujanja ujanja mwingi hapa!
 
Tani 3 zote! Lazima wadau wakuvizie bandarini ili wapate kiki kwamba unahujumu taifa
 
huo ugali wenye sura mbaya hapo juu ndo ugali wa muhogo? cjawah kula zaidi yakuusikia tu
 
Back
Top Bottom