Biashara ya Mianzi (Bamboo)

Mzee_Wa_Conspiracy

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
667
352
Hivi wadau wapi hapa tanzania naweza kupata kununua Mianzi (Bamboo) ambayo yapo katika ubora?
Niko interested na kuanzisha furniture za bamboo
 
Hivi wadau wapi hapa tanzania naweza kupata kununua Mianzi (Bamboo) ambayo yapo katika ubora?
Niko interested na kuanzisha furniture za bamboo
Mkuu salama,

Tanzania hatuna bamboo farms, ila tuna misitu holela ya mianzi ambayo haina viwango. Ukienda sido mkoa dsm pale Pugu road, wameonyesha maeneo yenye mianzi ya fanicha ikiwemo Kigoma, Tukuyu na Makete. Kwa huku Lindi kuna eneo linaitwa Mavuji, kuna mianzi pori mingi.
 
Si ndo ile ndugu zangu wanyalukolo wanatengenezea ulanzi (wenyewe wanatamka ulaasi). Kama ni hiyo iko ya kutosha mitaa mingi ya Iringa vijijini, used to see them mitaa ya Tosa, Ipamba, Kalenga....
 
Ahsanteni sana wakuu kwa info hizi, maana nasikia huko mikoani wanachoma moto sana mapori ya mianzi
 
Back
Top Bottom