Biashara ya mbao ngumu - hard woods _ export grade | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya mbao ngumu - hard woods _ export grade

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Edylux, Mar 24, 2011.

 1. E

  Edylux Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 47
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Salaams wana JF,

  Wauza mbao wa hapa Tanzania, nahitaji mbao zote ngumu kwa ajili ya kupeleka nje.

  Tafadhalini sana, naomba ambaye ana contact za wauza mbao wa Msumbiji,
  au wa TZ wanao import mbao kutoka Msumbiji, anipatie.

  Nahitaji Mahogany, Afrormosia, Mninga, Panga panga, Teak (mtiki) na nyingine nyingi:

  Size; (1" - 4") x (10" - 12") x (8' - 10').
  unene; upana; urefu.

  Kwa kuanzia nahitaji cubic meter 20 za kila aina.

  Naomba bei hadi kiwandani/bandarini Dar kwa cubic meter au kwa ubao, na utaratibu wa malipo.

  Ahsanteni,
  Edylux
   
 2. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nenda Keko Magurumbusi kwa wauza mbao watakupa information.
   
 3. b

  bwanaharusi Member

  #3
  Sep 8, 2011
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mimi ninazo mbao nyingi ambazo naweza kusupply miaka 6 mfululuzo
   
Loading...