Biashara ya mbao: Naomba msaada wakubwa!!!

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,802
282
Niko porini huku, mkulima mmoja anataka kuniuzia mbao 300 ,sasa kuna mambo siyajuwi!!

Leseni naipata wapi kusafirisha hadi soko la Dar na Zanzibar!!!

Gharama zake sh. ngapi kupata!"??

jamani nisaidieniiiiiiiii

PJN
MZEE WA NCHOLI VILLAGE, MTWARA
 
hebu tujuze kuna aina gani za mbao huko

mbao zenye soko ni hardwood aina ya east african rosewood kama vile mninga, mkongo, kanfa, pia ukipata mbao kama mvule, loliondo na pangapanga ni deal nzuri sana

usisahau kuvizia vipande vya mpingo uvifiche sana
 
Niko porini huku, mkulima mmoja anataka kuniuzia mbao 300 ,sasa kuna mambo siyajuwi!!

Leseni naipata wapi kusafirisha hadi soko la Dar na Zanzibar!!!

Gharama zake sh. ngapi kupata!"??

jamani nisaidieniiiiiiiii

PJN
MZEE WA NCHOLI VILLAGE, MTWARA

Ninacho kushauri mapema kabla hujapata hasara taslim, nenda maliasili ukahalalishe mzigo huo ( Ninachojua huko Mtwara mbao nyingi ni za mti pori). Ukileta ujanja ujanja huo mzigo utawaletea watu huku mjini.
 
Ziko kwa size ipi na nia aina gani? Fanyia kazi aliyokushauri Malila hapo ila kwa vipande mia atau yafaa uongezee kwa ajilia ya unafuu wa kusafirisha pia!
 
na ukifika bongo ukiwapa madalali ili wauze
kesho ukirudi wameshauza na hela wametimua nazo
uwe na uchunguzi wa kina kwenye hivyo issue.
 
Back
Top Bottom