Biashara ya Mafuta ya kula yaliyotumika

Biashara ya Mafuta ya kula yaliyotumika

backtobasics

Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
20
Reaction score
22
Wakuu naomba kufahamu kuhusu hii biashara nimekutana na tovuti ya kampuni ya kichina wanasafirisha haya mafuta hivyo nataka kufahamu wanaposource haya mafuta. je, inawezekana wanakusanya kwa hawa wauza chips, samaki n.k?msaada nitoe tongotongo.
Katika kuperuzi nimeona mafuta haya hutumika kutengeneza vilainishi, sabuni n.ki
 
nafikiri hua ni oil za magari na mashine mbali mbali sidhani kama hua ni mafuta ya kula unless kama kuna mtu ana ufahamu zaidi
 
Back
Top Bottom