Biashara ya mafuta ya alizeti

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Apr 12, 2018
2,510
4,224
Wakuu habari
Nimepitia post mbalimbali za nyuma kujaribu kufahamu kuhusu biashara hii lakini sijapata kile ninachokitaka.Najua mafuta yanaweza kuwa na label au yale ambayo ni pure yaani yametoka kukamuliwa hapohapo unabeba madumu yako kadhaa kisha unaondoka nayo.

Sasa inapokuja kwenye masoko hususan hapa dsm ninahitaji kufahamu kwamba, Je kuna uwezekano kuuza kwa reja reja au hata kwa jumla hivyo hivyo ndani ya vidumu bila complications za kuweka label? Je inaruhusiwa? Vipi swala la ushindani kwa mafuta yenye label na haya mengine? Na pia linapokuja swala la label taratibu na process zake zimekaaje?

Natanguliza shukrani
images%20-%202022-06-19T194814.586.jpg
 
Kiongozi unafanya ww unavyo ona unapata Faida. Kwako. Ujawai kuona sabuni z kigoma?zinavyo uzwa
 
Wateja wa Tz ni price driven type of customers yaan tunaaangalia bei ktk kufanya maamuzi ya manunuz kuliko hata ubora saa nyinge. Cha msingi mafuta yawe ktk ubora unaotakiwa na bei nzr vingne ni 'mbwembwe' unless unataka kuji brand kwny soko.
 
Ni kweli mkuu ila wasiwasi wangu ni sheria kwamba inaruhusiwa bidhaa kama mafuta yasiyokuwa na label kuuzwa rejareja? Kama sio big deal vipi sokoni bila label utatoboa ukipambana na wale ambao mafuta yao yana label? Vipi kuhusu utaratibu wa kupata hizo label?
 
Wakuu habari
Nimepitia post mbalimbali za nyuma kujaribu kufahamu kuhusu biashara hii lakini sijapata kile ninachokitaka.Najua mafuta yanaweza kuwa na label au yale ambayo ni pure yaani yametoka kukamuliwa hapohapo unabeba madumu yako kadhaa kisha unaondoka nayo.

Sasa inapokuja kwenye masoko hususan hapa dsm ninahitaji kufahamu kwamba, Je kuna uwezekano kuuza kwa reja reja au hata kwa jumla hivyo hivyo ndani ya vidumu bila complications za kuweka label? Je inaruhusiwa? Vipi swala la ushindani kwa mafuta yenye label na haya mengine? Na pia linapokuja swala la label taratibu na process zake zimekaaje?

Natanguliza shukrani View attachment 2265874
Lebo nenda stationary katengeneze ni rahisi mnoooo kuuza bila lebo soko kutakuwa gumu kwako
 
Back
Top Bottom