Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,472
Sijui nyie hii biashara mnaifanyaje,,, kama mnunuaji lazima kila leo uwe na update ya bei ya siku kila leo isipokuwa jumapili lazima ujue bei sokoni ikoje, na uweze kulisoma soko linaenda kupanda ama kushuka, we utanunuaje bila kujua unaenda kuuzaje???
Dhahabu kupungua uzito inategemeana mfano hizi za kukamatisha na mercury unapaswa uichome haswaa tena kwa mkaa wenye nguvu uhakikishe mercury yote imeisha ukiitoa dhahabu ikiwa njano iliyokolea ile kama inaenda kuwa red ama brown hivi hiyo imeiva vzr japo wachimbaji wanakuwa wakali ila inabidi ukomae nao mana wao wanataka ubabue ili mercury iwabebe ila ukichoma vzr hata kama ni dungu la gram 40 halitopungua zaidi ya point 5 au chini zaidi, zile zisizokamatishwa zinapungua kama mtu hukupuliza vzr yaan umenunua zikiwa na uchafu mwingi hivyo zikichomwa ule uchafu ukitoka ndio zinapungua kulingana na uchafu uliokuwepo au kuzidi hapo ila ukizipuliza vzr huwa hazipungui sana
Hpn sio wizi mfano sasa ukidhamini gram unalipa laki na 10 yaani elfu 11 kwa kila point ila ww ambae hudhamini hutaki kurisk hela yako inabidi ununue laki na 20 yaan elfu 12 kwa point, ndio iliyokuwa mantiki yangu lazima uzidishe bei ili upate mzigo.Samahani..hapo ulisposema uzidishe 1000 sio wizi, au?
Hpn sio wizi mfano sasa ukidhamini gram unalipa laki na 10 yaani elfu 11 kwa kila point ila ww ambae hudhamini hutaki kurisk hela yako inabidi ununue laki na 20 yaan elfu 12 kwa point, ndio iliyokuwa mantiki yangu lazima uzidishe bei ili upate mzigo
Hahaah tunaandika tunachopractc dogo. ..unanunua Leo mzigo tuseme mwingi wa 2m! Umebakiza tuseme laki7 tu...kesho kitu unaona kimedrop...kesho yake Tena kimedrop...wanauza kwa faida ndogo mradi aende Tena kukusanyia mzigo eish bye! Nini apps!tajiri anapanha Bei hutak kwenda
Yaani ww ni mbishi mjuaji bila sababu ....ukishaona mgodi dhahabu zake chache percentage za kufeli ni100/-%. Yaan kwa siku unashundia gram 7! Faida hapo si ya kula tu. Lol.tembeaga uone. Kuna machaka purity had 68%>>sema umekuja kubishana nakuangalia tu
Hapa ni we na wewe uandike ujuacho. Wewe uko Tanga wengine tumeshatimba Malinyi. Andika unachojua watajifunza wanaopenda.Duh!!!
JAMANI MALINYI MISEGESE KUMEHILA,(KUMELIPUKA DHAHABU)
wale wenye kusimika Gest mpooo...
Wenye mpesa..
Kuweka plant..
Makota
Mama lishe. ! Huu ndo wakati wa kutengeneza pesa wakati mgodi wa motomoto...! Mie soon nafika huko ntawapa mrejesho...lols!
Yaani nakushauri ni bora ukaenda kwanza kuchek Kuna fursa gan huko unaweza ifanya. Malinyi ni mwezi huu huu! Bado oya oya Sana haujasettle.kumelipuka lini bro?? pia naitaji ushauri wako naona pm kuna bomba labr naitji kujua ni kipi nifanye mgodini nina kam 300k naweza fanya issue gn nikatoboa, vipi pia kuhusu fello zinafaidaa? Msaada wako mkuu.
Yaani nakushauri ni bora ukaenda kwanza kuchek Kuna fursa gan huko unaweza ifanya...malinyi ni mwezi huu huu! Bado oya oya Sana haujasettle
Yaani nakushauri ni bora ukaenda kwanza kuchek Kuna fursa gan huko unaweza ifanya...malinyi ni mwezi huu huu! Bado oya oya Sana haujasettle.
Bila shaka ni Manzese ya KahamaHapa manzese Kuna elusion tunajazana balaa..but naamini ukitoa majibu murua utapata wateja tu
Yes mzee baba. Mi nafikiri kuanza kununua dhahabu is better kuliko kuanza kuwa na Karasha. Karasha demands large capital na upo uwezekano ukashindwa kuliendesha kutokana na uzoefu zero au ukakuza mlima ambao hausomi au sampo ipo chini mno.Kk kama una mtaji tafuta eneo ambapo dhahabu inatoka kwa wingi nenda jenga kakibanda tega scale yako lipa bei nzuri wachimbaji watakuletea dhahabu bila kuhangaika na hela yako haitakata hata nukta
Angalizo:-
A. Ulizia kwa mtu unaemwamini dhahabu ya eneo husika ni safi kiasi gani/ purity % yake, hiyo itakupa muongozo wa bei ya kununulia + bei zinazotamba mtaani
B. Usimdhamini mchimbaji kbs we mwambie unanunua dhahabu tu na uzidishe kama 1000 toka bei ya kawaida
C. Uwe na mtu atakaekusaidia kuchoma na kupuliza madini yasiyokamatishwa na mercury hadi utakapozoea...
NB: Naongea kwa uzoefu wangu, 1 kuhusu return za karasha na risks zake 2, ni mnunuaji wa muda na faida yake naijua ila nakushauri kama una hela za mawazo achana na karasha uncertainty zake ni kubwa mno
Unategemea na ukubwa na tank zako. Kama ni tank za wastan tani 30 each inaweza kucheza kwenye 20 mpaka 30mlGharama minimum za kuanzusha plant ata ya tenki 4 ni shingap?
Vilipuzi na compressor mara nyingi huwa vinaenda sambamba. Mfano kuchoronga mwamba tundu moja bei yake average ni tsh 10,000. Ukimuwekea mtu na mlipuko ni 15,000. Hvyo kuchoronga na kulipua tundu moja inakuwa 25,000. Ila kumbuka mtu wako anayelipua lazma awe na certificate. Thats y sikushauri kuuza milipuko kama milipuko usije ukashikana mashati na mamlaka.Mimi nataka kujua zaidi kuhusu hiyo ya kuuza vilipuzi, compressors na madawa. Mtaji, changamoto na faida zake.
Na hiyo ya umiliki wa elution plant.
Ungekua na picha mkuu tuwekee make wengine hawajawahi ona crusher yenyewe na mwalo ahsante sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Vilipuzi na compressor mara nyingi huwa vinaenda sambamba. Mfano kuchoronga mwamba tundu moja bei yake average ni tsh 10,000. Ukimuwekea mtu na mlipuko ni 15,000. Hvyo kuchoronga na kulipua tundu moja inakuwa 25,000. Ila kumbuka mtu wako anayelipua lazma awe na certificate. Thats y sikushauri kuuza milipuko kama milipuko usije ukashikana mashati na mamlaka.
Nikirefer wachimbaji wadogo wengi wanashindwa kupeleka plant kufanya leaching kwa sababu ya cost kama chemicals, kumlipa mkemia na kukodi plant. Ndio maana mwisho wa siku wanaamua kuuza marudio yao.Shukrani. Vp madawa ya uchenjuaji?
Ulishawahi kusagia na maji kwenye karasha hizi za kawaida,faida yake na hasara yake ikojee.View attachment 1634832
Hiyo ni aina mojawapo ya karasha kitaalamu inaitwa hammermill. Tofauti na nyingi zilizozoeleka hii inasaga mawe pamoja na maji na final product inatoa slurry (tope) ambalo linapita kwenye gunia kwa ajili ya kukamata dhahabu. Makarasha mengi yaliyozoeleka ni yale yanayotumia gololi na moja ya disadvantage zake ni kuwa udongo unapokuwa na maji inakuwa ngumu kdg kusaga mpaka ukaushwe.
Hapana sijawahi kutumia karasha za kawaida. Ila wanaotumia ndio nimewaskia kuwa wanapata tabu kdg mawe yakiwa na maji. Labda walio na experience nazo humu watatupa detailsUlishawahi kusagia na maji kwenye karasha hizi za kawaida,faida yake na hasara yake ikojee.
Kwa mimi mwenye mtaji wa laki tano mkuu na sina uzoefu wowote naweza kuanzia wapi mkuu..?Kuna mchizi wangu analo aliniambia nitafute 30m! Bt cost kubwa ni mzani. Nadhan sasa utakuwa unaenda 8m-10m! Km sikosei. Huyu kaka akikuhadithia alivyoanza unasismka, kule sasa kuna hela!
Kuke ndo unaweza kucheza na hizi kodi mradi usishtukiwe! Ukishtukiwa wanabeba mzigo wooote! Na lesen wanapokonya