Biashara ya Madini ya Dhahabu: Fahamu Uwekezaji Wake, Changamoto na Faida

Kwa nadharia yangu ndogo, CRUSHER au KARASHA (kwa lugha ya migodini!) ni lile mashine la kusagia mawe, yanatengenezwa humu humu nchi na yanakuwa na goroli ndani za kusagia au ku - crush hayo mawe ya dhahabu tayari kwa kupelekwa KUOSHA kwenye MWALO. Mwalo ni kama kadimbwi unakotengeneza pale machimboni aidha kwa kuletewa maji au kwa kutumia maji yatokayo chini ya maduara kule wanakochimba dhahabu. Wenye maujuzi Zaidi tufafanulieni.

Uko sahihi
 
MImi leo yangu ni maswali tu ELUTION PLANT NI NINI? Inafanya kazi gani? Ni sehemu ya PALNT NZIMA au ni kifaa/mashine inayojitegemea?
Ukishasaga mawe yako ukaosha..like tope kikiwa kubwa ndo tunapeleka plant ..lakini kabla ya kupelekwa plant unapima kujua kifusinchako kitatoa dhahabu kias gan...huko Sasa ndo zinaanza process za kuchomoa

Dhahabu .process haizid 2-4wks..! Kule Kuna chemicals wanachanganya na kifusi kuchomoa dhahabu. .ah nenda ukajionee
 
Risks za kupoteza mtaji kama umeamua kufanya biashara ya kota ni nn? Chakuzingatia ni nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
Risk ni kubwa unanunua saa11 jion dhahabu kwa 80000/- kesho ukipeleka jikoni imedrop maybe kwa 3000/-bado Kuna vipoint huwa vinapungua unapochoma na Kama ndo mgeni Kuna vipoint hapo lazima wanakuibia so gram moja unaweza katika hata 7000/!

Chakuzingatia ni wewe kuwa MWIZI!

na wakishajua Kota fulani anaibia wateja utakesha kusubiria mzigo!na habari zinasambaa fast. Watu wanakuwa wanakupita tu utakoleza mkaa had usinzie hakuna anayekuuzia!
 
Risk ni kubwa unanunua saa11 jion dhahabu kwa 80000/- kesho ukipeleka jikoni imedrop maybe kwa 3000/-..bado Kuna vipoint huwa vinapungua unapochoma na Kama ndo mgeni Kuna vipoint hapo lazima wanakuibia...so gram moja unaweza katika hata 7000/!

Chakuzingatia ni wewe kuwa MWIZI!
na wakishajua Kota fulani anaibia wateja utakesha kusubiria mzigo!na habari zinasambaa fast. Watu wanakuwa wanakupita tu .utakoleza mkaa had usinzie hakuna anayekuuzia!
Sawa ahsante. Kwahyo ili uweze kulinda mtaji usipotee mpaka ntakapokua mzoefu nianzie wapi ambapo risk ni limited? Kwa kununua karasha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa ahsante. Kwahyo ili uweze kulinda mtaji usipotee mpaka ntakapokua mzoefu nianzie wapi ambapo risk ni limited? Kwa kununua karasha?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kiuhalisia Bora ununue kalasha na uhakikishe unanunua mawe mazuri, uvumilivu zaidi, maana unaweza panga ufanye kazi kwa 3mths ikafika had 6mths. Natural disasters, mvua, ukosekanaji wa mawe, duara kujaa maji etc etc!
 
Hii biashara inakubidi uwe
1: mwizi wa macho kbs.(kuchezea mzani)
2.roho mbaya (utapeli kwa wateja wako)esp kwenue calculations..

I have been there...niliamua kuiacha!
Na serikali ya Magu mnagawana faida mnoo!..
Shida kuu iko kwenye soko...hawa wenye majiko wanachzea sana bei...yaan matajiri wanaambizana leo tutanunua kwa bei hii...! Wanaweza panga kununia kwa 85000/...lakini soko la dunia linasoma figure nyingine!

Ukitaka kumake labda uwe na jiko...ila kununua dhahabu na kwenda kuuza faida ni ndogo...( kule jikoni kama huna uzoefu watakuibia had utabasamu hata kama umepewa habari mbovu)
Unaweza nunua kwa 80000 jikoni ukakuta 77000!..na pia ubora wa dhahabu(purity)... Unauziwa mzigo kwa 80000@gramu lakini jikoni purity ikisoma 78%, 77% jua imekula kwako!
So unajikuta mtaji unakatika polepole!

Kifupi toka serikali hii iingie imeharibu...! Kodi zimekua juu mnooo!...labda ukutane na jiko wasilojua kucalculate unaweza ondoka na super profit!

Ushauri ...nenda kwanza migodini kasome kwamza mchezo kwa hao wanunuaji dhahabu( kota).., then utaamua mwenyewe!na usiwe mbahili kuwezesha watu ... Usipompa hela mteja wako jioni anaenda uza kwingine unakosa mzigo ..ukipata ufate faida atleast kwa siku ukusanye gramu kuanzia 25 hivi bila kodi kodi zao za wizi unaondoka hata na 100k&120k!daily...!

Kodi hapo unaweza acha zaidi ya 40!ila kama wenye majiko waelewa mnapoozeana! (Sasa hapa na wenyewe wanaogopa wanajua wewe mpelelezi..mie had leo wanajua ni mpelelezi..very dangerous))...tena kama ndo una sura sio ya kimgodi utakwepwa had ujute ..watajua ww mpelelezi...watakukata kodi kama ilivyo ada

Kuna makota wanapeleka kwa wahindi ..ananunua kwa shiling 80000 anaenda uza 87(mfano)lakini hawakupi deal hata siku moja...!..kifupi uwe mwizi mwizi ( Kuonea wateja...kuwaibia hela kbs )mjanja mjanja utatoka!ukiwa humble hiyo 5m itaisha august tu

HELA YA DHAHABU TAMU SANA!
Vingi ulivyoongea sio vya kweli na tabia ya wizi wizi ama utapeli kwa kota/digala hiyo ni tabia ya mtu na si kila kota/digala wala haikutaki uwe hivyo ili ufanikiwe ktk dhahabu.

Dhahabu ya machimbo purity iwe asilimia 77% khaa! hiyo sijapata kuiona labda ktk dhahabu za vyombo. Hapa tanga asilimia ya chini ni 97.3% ila ya kawaida ni 98.4% na biashara hii haitaji uwe na jiko ndo ufanikiwe maana hapa kwa kila gram unabaki na gap la 25k kama faida,,, kinachotakiwa hasa ni kuomba Mungu mgodi utoe madini hapo hela utaziona yakiwa machache usanii unakuwa mwingi.
 
Vingi ulivyoongea sio vya kweli na tabia ya wizi wizi ama utapeli kwa kota/digala hiyo ni tabia ya mtu na si kila kota/digala wala haikutaki uwe hivyo ili ufanikiwe ktk dhahabu...

Dhahabu ya machimbo purity iwe asilimia 77% khaa! hiyo sijapata kuiona labda ktk dhahabu za vyombo... Hapa tanga asilimia ya chini ni 97.3% ila ya kawaida ni 98.4% na biashara hii haitaji uwe na jiko ndo ufanikiwe maana hapa kwa kila gram unabaki na gap la 25k kama faida,,, kinachotakiwa hasa ni kuomba Mungu mgodi utoe madini hapo hela utaziona yakiwa machache usanii unakuwa mwingi...
Sawa mkuu
 
Tanga sehemu gani uliko?
 
Sawa ahsante. Kwahyo ili uweze kulinda mtaji usipotee mpaka ntakapokua mzoefu nianzie wapi ambapo risk ni limited? Kwa kununua karasha?

ILI KULINDA MTAJI USIPOTEE WAKATI WA KUTAFUTA UZOEFU WA BIASHARA

Kk kama una mtaji tafuta eneo ambapo dhahabu inatoka kwa wingi nenda jenga kakibanda tega scale yako lipa bei nzuri wachimbaji watakuletea dhahabu bila kuhangaika na hela yako haitakata hata nukta.

Angalizo:-

A. Ulizia kwa mtu unaemwamini dhahabu ya eneo husika ni safi kiasi gani/ purity % yake, hiyo itakupa muongozo wa bei ya kununulia + bei zinazotamba mtaani

B. Usimdhamini mchimbaji kbs we mwambie unanunua dhahabu tu na uzidishe kama 1000 toka bei ya kawaida

C. Uwe na mtu atakaekusaidia kuchoma na kupuliza madini yasiyokamatishwa na mercury hadi utakapozoea

NB: Naongea kwa uzoefu wangu, 1 kuhusu return za karasha na risks zake 2, ni mnunuaji wa muda na faida yake naijua ila nakushauri kama una hela za mawazo achana na karasha uncertainty zake ni kubwa mno
 
Kk kama una mtaji tafuta eneo ambapo dhahabu inatoka kwa wingi nenda jenga kakibanda tega scale yako lipa bei nzuri wachimbaji watakuletea dhahabu bila kuhangaika na hela yako haitakata hata nukta

Angalizo:-

A. Ulizia kwa mtu unaemwamini dhahabu ya eneo husika ni safi kiasi gani/ purity % yake, hiyo itakupa muongozo wa bei ya kununulia + bei zinazotamba mtaani

B. Usimdhamini mchimbaji kbs we mwambie unanunua dhahabu tu na uzidishe kama 1000 toka bei ya kawaida

C. Uwe na mtu atakaekusaidia kuchoma na kupuliza madini yasiyokamatishwa na mercury hadi utakapozoea...

Pia nadhani kama utakuwa unanunua toka kwa wachimbaji, ni vizuri uwe unajua hata bei ya kwenye soko lako. Si kibiashara kununua bei ya juu na kuuza bei ya chini; pia kuna suala la uzito, ukinunua na kisha kwenda kuchoma lazima uzito utapungua. Na hivyo kula kwako au siyo sasa unafanyaje katika hali hii?
 
Risk ni kubwa ....unanunua saa11 jion dhahabu kwa 80000/- kesho ukipeleka jikoni imedrop maybe kwa 3000/-..bado Kuna vipoint huwa vinapungua unapochoma. ..na Kama ndo mgeni Kuna vipoint hapo lazima wanakuibia...so gram moja unaweza katika hata 7000/!

Chakuzingatia ni wewe kuwa MWIZI!
na wakishajua Kota fulani anaibia wateja utakesha kusubiria mzigo!na habari zinasambaa fast . Watu wanakuwa wanakupita tu .utakoleza mkaa had usinzie hakuna anayekuuzia ...!
Hahahhahah brother kumbe ndio sababu wanaotoka kanda ya ziwa huku mgodini hawaeleweki ...

Hivi mchimbaji utamuibiaje!!! Imagine mtu karisk maisha yake kwenye fonga then umletee hbr zisizoeleweka si atakupiga moko labda uwe umemdhamini hlf umzingue kwenye bei vinginevyo awe form 1 si rahisi kumuibia mchimbaji labda utumie ubabe mwingi na huo sio utu ila yeye ndio rahisi kukuibia hususani ukiwa umemdhamini..

Pia dhahabu bei haipangwi na mtu mmoja kama nyanya muanze kulumbana kuna apps kibao ambazo wenye majiko hutumia kupanga bei ya siku mfano netnadia wanatoa live update ya commodity price kila baada ya dk kadhaa pia unaweza angalia bei ya silver ama gold muda husika live online na trend ya kushuka mtu unaiona ukihofia kama una mzigo mkubwa unampigia mnunuzi wako nna labda gram 100 nakuja baada ya siku 2 ila naziuza kwa bei ya leo, hapo itategemeana na anakuamini kiasi gani mana baada ya siku 2 inaweza kupanda zaidi mfano itoke kwenye 140000 iwe 145000 ambapo ww itakubidi umuuzie kwa ile mliyofunga awali yani 140 and vise verse, hawa wanunuaji wakubwa wanapanga bei... Kuiba ni dhambi Pima kihalali kama hujadhamini biashara ya dhahabu haina hasara

Say no to #Ujanjaujanja
 
Uko sahihi Sana!
 
Kk kama una mtaji tafuta eneo ambapo dhahabu inatoka kwa wingi nenda jenga kakibanda tega scale yako lipa bei nzuri wachimbaji watakuletea dhahabu bila kuhangaika na hela yako haitakata hata nukta

Angalizo:-

A. Ulizia kwa mtu unaemwamini dhahabu ya eneo husika ni safi kiasi gani/ purity % yake, hiyo itakupa muongozo wa bei ya kununulia + bei zinazotamba mtaani

B. Usimdhamini mchimbaji kbs we mwambie unanunua dhahabu tu na uzidishe kama 1000 toka bei ya kawaida

C. Uwe na mtu atakaekusaidia kuchoma na kupuliza madini yasiyokamatishwa na mercury hadi utakapozoea...

NB: Naongea kwa uzoefu wangu, 1 kuhusu return za karasha na risks zake 2, ni mnunuaji wa muda na faida yake naijua ila nakushauri kama una hela za mawazo achana na karasha uncertainty zake ni kubwa mno
Samahani..hapo ulisposema uzidishe 1000 sio wizi!?..au
 
Tanga dhahabu zinapatikana kila kona ila uzalishaji wake ni mdogo na purity yake nahisi ndio inaongoza kwa tz
Yaani ww ni mbishi mjuaji bila sababu ....ukishaona mgodi dhahabu zake chache percentage za kufeli ni100/-%. Yaan kwa siku unashundia gram 7! Faida hapo si ya kula tu. Lol.tembeaga uone. Kuna machaka purity had 68%>>sema umekuja kubishana nakuangalia tu
 
Pia nadhani kama utakuwa unanunua toka kwa wachimbaji, ni vizuri uwe unajua hata bei ya kwenye soko lako. Si kibiashara kununua bei ya juu na kuuza bei ya chini; pia kuna suala la uzito, ukinunua na kisha kwenda kuchoma lazima uzito utapungua. Na hivyo kula kwako au siyo sasa unafanyaje katika hali hii?
Sijui nyie hii biashara mnaifanyaje, kama mnunuaji lazima kila leo uwe na update ya bei ya siku kila leo isipokuwa jumapili lazima ujue bei sokoni ikoje, na uweze kulisoma soko linaenda kupanda ama kushuka, we utanunuaje bila kujua unaenda kuuzaje???

Dhahabu kupungua uzito inategemeana mfano hizi za kukamatisha na mercury unapaswa uichome haswaa tena kwa mkaa wenye nguvu uhakikishe mercury yote imeisha ukiitoa dhahabu ikiwa njano iliyokolea ile kama inaenda kuwa red ama brown hivi hiyo imeiva vzr japo wachimbaji wanakuwa wakali ila inabidi ukomae nao mana wao wanataka ubabue ili mercury iwabebe ila ukichoma vzr hata kama ni dungu la gram 40 halitopungua zaidi ya point 5 au chini zaidi,

Zile zisizokamatishwa zinapungua kama mtu hukupuliza vzr yaan umenunua zikiwa na uchafu mwingi hivyo zikichomwa ule uchafu ukitoka ndio zinapungua kulingana na uchafu uliokuwepo au kuzidi hapo ila ukizipuliza vzr huwa hazipungui sana.
 
Back
Top Bottom