DOKEZO Biashara ya kuuza mwili imekithiri maeneo ya Singida MC (Mitaa ya Kirima), serikali ifanye kitu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Biashara hii imelea na kusomesha wengi tu, kinachotakiwa ni kupendekeza mazingira yatakaofanya biashara hii isilete matokeo hasi kwa watoto, kuwatengea pink area within town na kutoa elimu ya kujikinga na STIs, na wapewe pia panic buttons zilizounganishwa na vituo vya police kwa ulinzi wao, huwezi to kuifuta biashara hii hapa duniani kwa nguvu, biashara hii tumeikuta, tutaiacha inaendelea, mtoa hoja relax mkuu na njoo na the way forward kuiboresha kisheria
Hakuna haja ya kuboresha umalaya, umalaya ni weakness na anguko la mtu yeyote, huyo Malaya hawezi kuwa mtu yeyote wa thamani mbele ya safari yake ya maisha, imagine Malaya anaweza kuwa raisi kweli? Vitu vilivyoshushwa hadhi na Mungu vijibebe venyewe vitavyojua kujithamisha na sauti za waovu zinaishia shimoni, sisi tunapaswa kuwaonya wajisalimishe mapema kwa kubadilika ili wawe na thamani, kikubwa kama wanajipanga kwenye jamii basi serikali iwafukuze wapeleke uhayawani wao huko club na kwenye mabaa ambako tangu miaka kulishashushwa thamani, hivi nani anataka kuoa Malaya na akawa na ujasiri wa kuishi naye? Na kusimama mbele za watu kwamba mke wangu kazi yake ni Malaya?
 
Habari wakuu!

Jana nilibahatika kupita mitaa ya hapa Singida Mjini kuna sehemu wanaita Kirima, yaani hapo nilikuta malaya wamejipanga wakiwa wamevaa hovyo wengine chupi, boksa, in short yaani ni uchafu mtupu.

Kilichonisikitisha zaidi ile ni mitaa ya makazi ya watu na niliona watoto wadogo wanacheza mitaa ile, nikawaza miaka 10_20 ijayo hao watoto watakuwa katika hali gani ya maadili 😭.
Picha Je?
 
Kuna kahaba mmoja niliwahi kumshuhudia maeneo ya Kinondaoni makaburini akimchomolea mteja kabla hajamwaga. Kumbe huwa wanafanya ushenzy huo ukiwa umelipa dau dogo? Wapuuzi sana hawa makahaba aisee.

Kwanza mteja anayeenda kununua nyapu anakuwa na kiu ya kutosha huwa hakawii kumwaga. Kwanini sasa wanawakatili wateja wao kiasi hicho?

Wajifunze customer care kama wafanyavyo makahaba wa Nairobi; wapo smart sana na wako makini kwenye upande wa customer care.

Ulikuwa ni wewe usitudanganye! Ulikuwa unashuhudia anachomolewa kabla hajamwaga ukiwa wapi? Na uliingia makaburini kufanya nini ukawa unachungulia? Ni vizuri sana ulikomeshwa, tena ungezubaa zaidi ingefyekwa na wembe yote, maana haina mfupa!
 
Tangu nikue nacho amini maadili ni jambo la mtu mmoja si la kikundi.
Kulazimisha maadili liwe jambo la kikundi si sahihi na haijawahi fanikiwa. Warabu wamejitahidi kulazimisha maadili kwa mtutu wa bunduki lakini bado kuna watu wamegoma kufuata maadili ya pamoja ya kiarabu mfano (Mia khalifa malaya wa kiarabu aliekubuhu).
Kwa nini tuwe na maadili sawa wakati sisi ni binadamu tusio fanana ?
Usinilazimishe nacho amini na mimi nisikulazimishe unachoamini.
Kwa nini dini ziwe standard za maadili wakati kuna watu hawana dini.
Maadili mazuri ni yale yamfaayo mtu na hayana madhara kwa mwingine.
Ajabu ni jwamba watoto wasio karibu na vilabu vya malaya au walevi baadae huwa malaya au walevi konkodi !, je nani kawasababishia ?
Jambo la kujiuliza kama tulifundishwa darasani, kanisani na msikitini juu ya maadili mazuri kwa nini tumekengeuka na hatufuati?
Kumbe mtu akikua hujichagulia maadili yake na wala hafuati maadili ya kikundi labda iwe sheria shurutishi, ingawa wapo wanaigiza maadili ya vikundi na katika faragha hufuata maadili yao binafsi.
Wazungu wapo huru sana wazi juy ta maadili. Sisi na warabu ni uongo mwingi wa kuhadaa uma na ku pretend kwingi.
 
Kumbe Rais anapewa mtu msafi kabisa,hakuna malaya anayeweza kua Rais?
Duuh! Clinton na Monica Lewnsk.... sijui ilikuaje?
Hakuna haja ya kuboresha umalaya, umalaya ni weakness na anguko la mtu yeyote, huyo Malaya hawezi kuwa mtu yeyote wa thamani mbele ya safari yake ya maisha, imagine Malaya anaweza kuwa raisi kweli? Vitu vilivyoshushwa hadhi na Mungu vijibebe venyewe vitavyojua kujithamisha na sauti za waovu zinaishia shimoni, sisi tunapaswa kuwaonya wajisalimishe mapema kwa kubadilika ili wawe na thamani, kikubwa kama wanajipanga kwenye jamii basi serikali iwafukuze wapeleke uhayawani wao huko club na kwenye mabaa ambako tangu miaka kulishashushwa thamani, hivi nani anataka kuoa Malaya na akawa na ujasiri wa kuishi naye? Na kusimama mbele za watu kwamba mke wangu kazi yake ni Malaya?
 
Habari wakuu!

Jana nilibahatika kupita mitaa ya hapa Singida Mjini kuna sehemu wanaita Kirima, yaani hapo nilikuta malaya wamejipanga wakiwa wamevaa hovyo wengine chupi, boksa, in short yaani ni uchafu mtupu.

Kilichonisikitisha zaidi ile ni mitaa ya makazi ya watu na niliona watoto wadogo wanacheza mitaa ile, nikawaza miaka 10_20 ijayo hao watoto watakuwa katika hali gani ya maadili .
Unashangaa nini Sasa. Je wakale wapi??
 
Kumbe Rais anapewa mtu msafi kabisa,hakuna malaya anayeweza kua Rais?
Duuh! Clinton na Monica Lewnsk.... sijui ilikuaje?
Huoni hiyo ni kashifa? Na siyo sifa, kiongozi hata wa mwili wako wanaangalia sifa njema ulizonazo na uwezo wako wa kujizuia kwenye ubaya au kashifa.
 
Kama ni basi kwa vigezo vyako,sidhani kama niwajuao,walifaa kua viongozi.
Huoni hiyo ni kashifa? Na siyo sifa, kiongozi hata wa mwili wako wanaangalia sifa njema ulizonazo na uwezo wako wa kujizuia kwenye ubaya au kashifa.
 
Habari wakuu!

Jana nilibahatika kupita mitaa ya hapa Singida Mjini kuna sehemu wanaita Kirima, yaani hapo nilikuta malaya wamejipanga wakiwa wamevaa hovyo wengine chupi, boksa, in short yaani ni uchafu mtupu.

Kilichonisikitisha zaidi ile ni mitaa ya makazi ya watu na niliona watoto wadogo wanacheza mitaa ile, nikawaza miaka 10_20 ijayo hao watoto watakuwa katika hali gani ya maadili .
Hii hali imekuwa gumzo nchi nzima hasa husababishwa na nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom