blind fighter
Member
- May 17, 2021
- 85
- 128
Wakuu habari za wakati. ni muda sasa toka nimemaliza chuo, mwaka huu mwezi wa saba natimiza miaka miwili mtaani.
Chuoni nimesoma Shahada ya Teknolojia ya Habari za Biashara (bachelor in bussiness Infomation Technology). Mwaka jana mwezi wa pili nimepata kazi kwenye kampuni moja hivi ya kufundisha hapa hapa dar es salaam.
Kutokana na ugumu wa maisha punde tu baada ya kutoka chuoni, nilizama kwenye ile kazi hadi leo, bado nafundisha pale. ila ninachofundisha hakiendani na fani, mshahara ni laki 5 take home, japo nimejaribu kuomba kuongezewa mshahara ila bado.
umri unaelekea miaka 30, no any development step nimefanya, japo kuna saving kidogo nimefanya kwenye account, nimeomba kazi mbali mbali ilasjafanikiwa kupata.
Nina uelewea wa IT, i can read and deburg codes, network basics, system administration and intermediate of data analystics (Excel, SQL and poweBI as my favourite visualization tool).
Kwa kuwa umri umeenda, ugumu wa maisha na kutegemewa na familia kijijini, sikupata muda wa kukaa na kutengeneza system yoyote as a project, nimekaa chini nikapata wazo la baishara ya kuuza na kutoa huduma zamifumo ikiwemo
Sasa nimekuja kwenu kuomba ushauri juu ya haya maamuzi, changamoto ya biashara hii na faida yake.
Pia nipo tayari kwa kazi za ufundishaji au hata za kiofisi kama data analyst.

- Multi Tenant School Management System
- Online Exam for Coaching / Training Institute (Complete Premium) with Android App
- Ecommerce Shopping Website (Complete Website) plus Android App
- Multi-Tenancy eCommerce Platform (Laravel)
- Food Delivery App with Admin Panel and Delivery Man App
- Taxi Booking Application (Android & iOS App) with Admin Panel
- ERP, Stock Management, Point of Sale & Invoicing Application
- SaaS-Based Invoicing and Billing Platform (PHP Script)
- Hospital Management System PHP Website with Android App
- Multi-Hospital Management SaaS Application with Mobile Apps
- Online Matrimonial Portal (digital platform where people can find life partners)