Biashara ya kuuza mifumo

Biashara ya kuuza mifumo

Ni wazo jema , nakushauri ujipange vyema sana kwenye kulifikia soko unalotaka kuwapelekea bidhaa hizo mana ndio kwenye ugumu. Mitaani mifumo ipo mingi ,
1.Iliyopo inamapungufu gani
2.Utamshawishi vipi mtu atumie mifumo yako na sio iliyopo
3 cha 3 na kikubwa zaidi umejiandaaje kwenye nguvu ya marketing ili watumiaji waweze kushawishika


Jipange mimi nipo kwenye hili soko gumu kweli kweli tunapambana na wahindi wengine toka India huko
 
Back
Top Bottom