Shabani mwembe
Member
- Apr 29, 2017
- 9
- 0
Mkuu upo wapi tutafutane mwenyewe nina plan hiyo nataka kufungua pia.Wapendwa ninamtaji wa sh. 500000 laki tano ndoto yangu ni kufungua biashara ya Genge je naweza kufanikiwa. naomba msaada wenu wa mawazo wapendwa
Nipo Dodoma mkuu wewe upo wapi?Mkuu upo wapi tutafutane mwenyew nina plan hiyo nataka kufungua pia.
We can be partners ..
Plan yangu nataka kufanya home delivery..
Aahh ok. labda tusaidiane kupeana mbinu na jinc ya kuliandaa ndugu yanguNipo Dar
0692488869Ni pm contacts zako mkuu
Nilikua Nawaza kwenda kufanya Hii biashara masaki, osterbey DooooohGenge biashara nzuri ila usije ukalifungulia ushuani kwenye mageti mengi utafeli
Jaribu kufuata intuition yako tu mkuu, huo ni mtazamo wangu maana kule wananunua in bulk katika supermarkets zao.Nilikua Nawaza kwenda kufanya Hii biashara masaki, osterbey Doooooh
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah niliwaza hiyo kitu but nilijua vile kitakua modern genge wanaweza shawishika but Kwelii ni kaz kuwavutia wale ushua mwing manunuz ni weekend tena in full package. Niwaze tu eneo lingineJaribu kufuata intuition yako tu mkuu, huo ni mtazamo wangu maana kule wananunua in bulk katika supermarkets zao.
Mkuu usikate tamaa fanya utafiti kwanza ujue nini wateja wanakitaka na weakness za magenge yaliyopo.Niliwahi kuishi ushuani (Mikocheni) kuna wapemba walikuwa na genge walikuwa wanaingiza sana helaYeah niliwaza hiyo kitu but nilijua vile kitakua modern genge wanaweza shawishika but Kwelii ni kaz kuwavutia wale ushua mwing manunuz ni weekend tena in full package. Niwaze tu eneo lingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana kwa mawazo yako mkuu, ubarikiwe