Shabani mwembe
Member
- Apr 29, 2017
- 9
- 0
Yap mkuu biashara ya genge inalipa endapo utakuwa makini kuwasoma na kuwaelewa watu unaowalisha, jitahidi sana uwe unauwezo Wa kuuza mzigo Kwa haraka na kuchukua mwengine Kwa kuto kuangalia faida kubwa, yaani ni bora faida iwe ya kawaida lkn mzigo kila Siku au mbili hadi tatu ili uwe unamzigo mpya kwenye kuvutia wateja