Biashara ya 'Kuuza Chenchi' Yashamiri Dar

Biashara ya 'Kuuza Chenchi' Yashamiri Dar

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
IMG_8138www.jpg
hii nayo ni miongoni mwa zile ajira?
 
kuna mwingine anapita mitaani kule sinza anatangaza kuwa ananunua noti na sarafu zilizochakaa...hizo ndio ajira milioni moja za JK..tulieni tu mtasikia utamu mpaka mwisho
 
kuna mwingine anapita mitaani kule sinza anatangaza kuwa ananunua noti na sarafu zilizochakaa...hizo ndio ajira milioni moja za JK..tulieni tu mtasikia utamu mpaka mwisho

ni kweli nilikutana naye Kariakoo nikampa buku kumi akanipa TANO (nusu) anachukua hata dola chakavu sijui kama ndiyo huyohuyo ila pia wengi
 
Back
Top Bottom