demarine
Member
- Dec 6, 2020
- 18
- 29
Wakuu nilikuwa naomba kufahamishwa michongo ya kusambaza bidhaa mikoani au kutoka mikoani kuingia dar. Kwa anayefahamu ni mishe ipi iko poa au kama una connection yoyote eiza kuchukua vyakura kama mbogamboga, masamaki, au chochote yani kifupi biashara ambayo aikai unachukua unapeleka mzigo sehemu unapata cash yako unafata mwengine.
Mnifahamishe natoa wapi iyo mizigo soko na faida + hasara
Maelezo yangu ayako poa sana ila nazan kwa kiasi mtakuwa mmenielewa wakuu. Ila mtaji usizid 1.5M
Mnifahamishe natoa wapi iyo mizigo soko na faida + hasara
Maelezo yangu ayako poa sana ila nazan kwa kiasi mtakuwa mmenielewa wakuu. Ila mtaji usizid 1.5M