Zombi Mweusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 842
- 1,743
Habari zenu wakuu poleni na majukumu na ugumu wa maisha wa mitano tena,
Kuna biashara ya mitubwi ya uvuvi nafanya yapata mwezi mmoja sasa nina mitumbwi 10 yenye thamani ya TSH 1.5M yote na nahisi inalipa biashara ipo hivi
Nampa mtumbwi mvuvi kwenda kufanyia kazi akitoka na samaki kama samaki inauzwa mia 400 kwa mmoja mi nanunua kwa shilingi 350 kufidia mtumbwi anaotumia so kama atatoka na samaki 100 inamaana ndakuwa nimepata 5000 mara mitumbwi 10 ndaingiza elfu 50000 kwa siku na hiyo haina kodi wala makato ya aina yeyote
Changamoto;wavuvi wengi sio waaminifu anaweza kupata samaki 500 akampa mtu ambae hatumii mtumbwi wa mtu akabakiza samaki 50 kwahiyo unashindwa kufikia malengo yako
Changamoto nyingine wavuvi ni watu wanaopenda starehe anaweza akanywa pombe kesho asiende kuvua so utakwama kufikia malengo
Nipo bwawa la chimendeli wilaya ya Bahi kama unaweza fika chungulia fursa yeyote na maeneo yenye fursa kubwa ni 3
1)chali isanga
2)chimendeli
3)naguro
Note;sihitaji kufahamiana na mtu maelezo yote ndakuwa natoa hapa nikipata muda mwenye swali tafadhari